Daktari mmoja huhudumia wagonjwa 10,000
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema daktari mmoja nchini anahudumia wagonjwa 10,000 huku nchi ikiwa na madaktari 4,750. Kutokana na hali hiyo serikali inahitaji madaktari 75,000 kwa ajili...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Dec
Daktari mmoja Tanzania huhudumia watu 30,000

Daktari mmoja nchini Tanzania, anahudumia watu 30,000 (1:30,000), utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO), umeonyesha.
Hata hivyo, takwimu hizo zipo mbali mno na uwiano uliopendekezwa na WHO wa daktari maalum mmoja kuhudumia watu 1,000.
Taarifa ya Hospitali ya Apollo jana ilisema kutokana na ukuaji wa haraka wa idadi ya watu nchini, kwa ujumla uwiano huo haujabadilika katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Kutokana na...
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Daktari wa Wuhan aliyewapoteza wagonjwa watano usiku mmoja
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Daktari apiga wagonjwa Ngara
11 years ago
Habarileo08 Jul
Hospitali ya mkoa ina daktari bingwa mmoja
HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Kagera inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa saba, hali inayotajwa kuchangia huduma kusuasua hivyo kuongezeka kwa malalamiko kutoka kwa wagonjwa.
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya corona: Daktari Christian Chenay mwenye umri wa miaka 98 anaendelea kuwatibu wagonjwa wake
5 years ago
CCM Blog
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Mt. Gaspari yatibu wagonjwa 53,000
ZAIDI ya wagonjwa 53,000 walipatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Gaspari iliyopo katika mji mdogo wa Itigi, wilayani Manyoni, Singida kwa kuanzia mwaka 2006 hadi mwaka...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Iddi atemblea Wagonjwa Hospital ya Mnazi Mmoja,Zanzibar
Balozi seif alisema hayo wakati alipofanya ziara fupi ya kukagua watoto walioungua moto ambao wamelazwa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar mara baada ya kumalizika kwa kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19