Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dambaya asihi wasiondoke vipandevipande

Mwanahabari na mjumbe wa Bunge Maalumu, Hamis Dambaya amesema wajumbe wa Bunge hilo wanatakiwa kutumia uwezo wao wote kuwashawishi wenzao waliotoka nje, kurejea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!

Wasanii walojiunga CCM wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete. Stori: Waandishi Wetu
MPASUKO mkubwa umeikumba tasnia ya filamu Bongo baada ya baadhi ya wasanii wanaong’ara kuchukua kadi rasmi za kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Tukio hilo lilitokea juzi, Jumapili jijini Mbeya kulipokuwa na sherehe za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema Monduli yapasuka ‘vipandevipande’

UONGOZI wa Chadema wilayani Monduli umesambaratika, kufuatia hatua ya viongozi wa juu wa chama hicho kujiuzulu nyadhifa zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Bilal asihi Watanzania kujitoa

>Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Asha Bilal amesema, anasikitishwa na tabia za baadhi ya Watanzania hususan wenye uwezo wa kifedha kwa kutojitolea katika kuisaidia jamii inayoendelea kuishi kwenye hali ngumu za kimaisha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama asihi ukweli katika Ebola

Rais Obama awasihi wananchi wa Marekani wasikize ukweli katika tishio la Ebola siyo maneno ya kuzusha uoga

 

10 years ago

Habarileo

Mgimwa asihi Watanzania kulinda wanyamapori

NAIBU Waziri Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa amewasisitizia Watanzania kuendelea kuwalinda wanyamapori kwa hali na mali, kwani wanyama hao ni mali yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilal asihi uchangiaji uhifadhi mazingira nchini

Zaidi ya Sh90 milioni zimechangwa jijini hapa kwa ajili ya kusaidia hifadhi wa mazingira katika misitu ya milima ya Tao la Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani