Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Darassa awataka wasanii kujiimarisha nyumbani kabla ya kufikiria kwenda kimataifa

Rapper Darassa amewataka wasanii kuacha kuiga njia aliyotumia Diamond Platnumz kwenda kimataifa na kuanza kwanza kujiimarisha hapa Tanzania pamoja na Afrika Mashariki. Darassa ameiambia Bongo5 kuwa wasanii wanatakiwa kukubalika kwanza ndani kabla ya kutaka kutoka nje. “Kila mtu anamwona Diamond alivyopata mafanikio zaidi baada ya kufanya kolabo na Davido na akaupeleka muziki wake Nigeria,” amesema […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC LUDEWA AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA WANAFUNZI WANARIPOTI SHULENI KABLA YA MACHI 31

Na Shukrani Kawogo,LUDEWA

Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani njombe Andrea Tsere amewataka madiwani wa kata mbalimbali pamoja na wakuu wa shule kuhakikisha wanafunzi 645 wa kidato cha kwanza ambao hawajaripoti shuleni kuanza masomo, wanaripoti kabla ya march 31 kuanza masomo hayo.

Agizo hilo amelitoa katika mkutano wa wadau wa elimu uliofanyika hivi karibuni wilayani humo ambao ulishirikisha madiwani, wakuu wa shule, pamoja na wadau wengine kutoka Nyanja mbalimbali.

Alisema jumla ya wanafunzi...

 

9 years ago

Bongo5

Cassim adai kuzipa exclusive TV za nje kabla ya nyumbani si kitu kizuri

Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho

Hitmaker wa Subira, Cassim Mganga amesema haoni kama ni ufahari kupeleka video yake ikaoneshwe kama exclusive kwenye vituo vya runinga vya nje na kuwaacha watanzania wengi wakisubiria.

Kassim Mganga

Akizungumza na Bongo5, Cassim amesema haoni uzito wa suala hilo kama ambavyo wengine wanavyolichukulia.

“Mimi na video yangu ya Subira nilisema nisianzie huko, kwanini mtu upate exclusive huko ndio uonekane kwamba wewe unakwenda kimataifa?” amehoji.

“Hata hapa nyumbani ni kimataifa vile vile wanaweza...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watanzania walio nje washauriwa kurejea nyumbani kabla ya Jumamosi

"Watanzania walio nje ya nchi wabaki hukohuko ikizidi Jumamosi, watuache tupumue,"Hamad Rashid waziri wa Afya Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAKABIDHIWA VIFAA KABLA YA KWENDA BRAZIL MASHINDANONI

Mkurugenzi na muasisi wa taasisi ya Tanzania Street Children (TSC), Bw. Altaf  Hirani akimkabidhi vifaa vya jezi meneja msafara wa timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania, Majuto Ismail,  jijini Mwanza kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia la watoto wa mitaani. Picha na Moses Mashalla.

 

9 years ago

Raia Mwema

Ni vema kutafiti kabla kuwadharau wasanii

WIKI iliyopita kwenye gazeti hili (la Raia Mwema) kulikuwa na makala yenye kichwa: “Baraza jipya

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Hakimu aombwa kwenda kumsomea mashtaka kigogo wa MSD nyumbani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeombwa kwenda kumsomea mashtaka yanayomkabili, Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Kaskazini wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Sylvester Matandiko nyumbani kutokana na hali yake.

 

10 years ago

Bongo5

Majuto awataka vijana kwenda Hijja, adai nchi itakuwa na amani

Alhaj King Majuto amewataka vijana kutumia muda wao kwenda Hijja ili kujifunza mambo yatakayosaidia kuleta amani nchini. Majuto ambaye alikuwa Hijja hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa vijana hawana hofu ya Mungu ndio maana wanafanya vitu vya kuhatarisha amani. “Hijja ni muhimu sana, ni nguzo ya tano ya dini ya kiislamu. Kwa wenye uwezo vijana ndio […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani