Dawa ya malaria yatumika kurembesha nywele
>Tabia ya kutumia vitu vyenye kemikali bila ya ushauri wa kitaalamu imeendelea kujijenga miongoni mwa Watanzania, ambapo sasa dawa ya malaria aina ya Metakelfin inatumika kutengeneza kipodozi cha kurembesha nywele.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMAGARI YA WASHAWASHA, FIRE YATUMIKA KUNYUNYUZIA DAWA STENDI YA MABASI UBUNGO
Zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua vijidudu katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi Jiji la Dar es salaam limeendelea usiku wakuamkia leo katika standi kuu ya mabasi ya Ubungo na mitaa yake ikiwa ni moja ya jitihada za Serikali kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo ni tishio kwa dunia kwa sasa.
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Dawa za nywele zinazosababisha uvimbe wa kizazi kwa wanawake
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.
11 years ago
KwanzaJamii26 Apr
Dawa feki za malaria marufuku
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema maduka ya dawa yatakayobainika kuuza dawa za malaria zilizokwisha muda yatafungiwa na kunyang’anywa leseni ya biashara.
Akizungumza katika mkutano wa kujadili malaria na mikakati yake uliofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, Dk Rashid alisema uuzaji wa dawa zilizokwisha muda na zilizopigwa marufuku kama tiba ya malaria, ndicho chanzo cha kuzorota kwa vita dhidi ya ugonjwa huo.
“Mmiliki wa duka ambaye kwa kawaida ni...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
MSD: Tuna dawa za malaria za kutosha
PAMOJA na kuwepo malalamiko ya kukosekana kwa dawa za malaria katika hospitali mbalimbali nchini, Bohari ya Dawa (MSD), imesema ina dawa hizo za kutosha. Akizungumza na Tanzania Daima katika maadhimisho...
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Muundo mpya wa dawa ya malaria wazinduliwa nchini
Wagonjwa wa Malaria sasa watatumia vidonge 6Â badala ya 24 kwa dozi nzima ikiwa ni sawa na asilimia 75 ya punguzo la mzigo wa vidonge, iwapo watatumia dawa aina ya coartem.
10 years ago
Mwananchi29 Aug
MALARIA: Vimelea sugu kwa dawa ya Mseto vyaibuka
>Taarifa za hivi karibuni za kitafiti kutoka Shirika la Aya Duniani (WHO) zinasema baadhi ya nchi katika Bara la Asia zimeripoti kuwapo kwa usugu wa vimelea vya malaria dhidi ya kiambata kikuu kinachotumika katika kutengeneza dawa mseto aina zote, zikiwamo zinazotumika Tanzania. Usugu huo kwa mujibu wa ripoti ya WHO umeonekana kwa vimelea vya malaria aina ya Plasmodium falcipuram. Hiki ndicho kimelea kinachoongoza kwa kusababisha malaria duniani.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Wallpaper zinavyotumika kurembesha kuta
Wengi tumezoea kurembesha kuta za nyumba zetu kwa kutumia rangi lakini kadiri teknolojia inavyokuwa nakshi za urembo nazo zinabadilika na kuja kwa mtindo mwingine.
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Je dawa za malaria zinaweza kutibu corona pia
Jaribio la matumizi ya dawa za malaria kuona kama zinaweza kuzuia ugonjwa wa Corona limeanza nchini Uingereza katika mji wa Brighton na Oxford.
5 years ago
BBCSwahili19 May
Virusi vya corona: Je kuna ushahidi kuwa dawa za malaria zinatibu corona?
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ametumia dawa ya malaria ya hydroxychloroquine ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona licha ya kwamba wanasayansi wametoa angalizo dhidi athari ambazo zinaweza kujitokeza.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania