Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MALARIA: Vimelea sugu kwa dawa ya Mseto vyaibuka

>Taarifa za hivi karibuni za kitafiti kutoka Shirika la Aya Duniani (WHO) zinasema baadhi ya nchi katika Bara la Asia zimeripoti kuwapo kwa usugu  wa vimelea vya malaria dhidi ya kiambata kikuu kinachotumika katika kutengeneza dawa mseto aina zote, zikiwamo zinazotumika Tanzania. Usugu huo kwa mujibu wa ripoti ya WHO umeonekana  kwa vimelea vya malaria aina ya Plasmodium falcipuram. Hiki ndicho kimelea kinachoongoza kwa kusababisha malaria duniani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tujitahidi Alu isiwe sugu kwa vimelea wa malaria

Mwishoni mwa mwaka jana taarifa za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionyesha kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto walio na umri chini ya miaka mitano, vinavyotokana na ugonjwa wa malaria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Usugu wa vimelea vya Malaria kutafitiwa

wanasayansi wanatafiti namna vimelea vya ugonjwa wa malaria jinsi vinavyoendelea kuwa sugu kwa dawa zilizokuwa zinatibu ugonjwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa

Aina ya kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa zilizopo sasa, na ni vigumu kupata tiba kamili.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Dawa feki za malaria marufuku

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema  maduka ya dawa yatakayobainika kuuza dawa za malaria zilizokwisha muda yatafungiwa na kunyang’anywa leseni ya biashara. Akizungumza katika mkutano wa kujadili malaria na mikakati yake uliofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, Dk Rashid alisema uuzaji wa dawa zilizokwisha muda  na zilizopigwa marufuku kama tiba ya malaria, ndicho chanzo cha kuzorota kwa vita dhidi ya ugonjwa huo. “Mmiliki wa duka ambaye kwa kawaida ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MSD: Tuna dawa za malaria za kutosha

PAMOJA na kuwepo malalamiko ya kukosekana kwa dawa za malaria katika hospitali mbalimbali nchini, Bohari ya Dawa (MSD), imesema ina dawa hizo za kutosha. Akizungumza na Tanzania Daima katika maadhimisho...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa ya malaria yatumika kurembesha nywele

>Tabia ya kutumia vitu vyenye kemikali bila ya ushauri wa kitaalamu imeendelea kujijenga miongoni mwa Watanzania, ambapo sasa dawa ya malaria aina ya Metakelfin  inatumika kutengeneza kipodozi cha kurembesha nywele.

 

9 years ago

Mwananchi

Muundo mpya wa dawa ya malaria wazinduliwa nchini

Wagonjwa wa Malaria sasa watatumia vidonge 6  badala ya 24 kwa dozi nzima ikiwa ni sawa na asilimia 75 ya punguzo la mzigo wa vidonge, iwapo watatumia dawa aina ya coartem.

 

10 years ago

Habarileo

Vituko vyaibuka kura za maoni

KURA za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimefanyika kwa utulivu katika maeneo mengi nchini, huku baadhi ya maeneo kukiibuka hitilafu zilizosababisha baadhi ya wanachama kulala mahabusu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je dawa za malaria zinaweza kutibu corona pia

Jaribio la matumizi ya dawa za malaria kuona kama zinaweza kuzuia ugonjwa wa Corona limeanza nchini Uingereza katika mji wa Brighton na Oxford.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani