Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muundo mpya wa dawa ya malaria wazinduliwa nchini

Wagonjwa wa Malaria sasa watatumia vidonge 6  badala ya 24 kwa dozi nzima ikiwa ni sawa na asilimia 75 ya punguzo la mzigo wa vidonge, iwapo watatumia dawa aina ya coartem.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mpango mpya kusimamia dawa, vifaa tiba wazinduliwa

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid.SERIKALI imezindua mpango wa kusimamia upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa njia za kielektroniki ili kuboresha na kumaliza manung’uniko ya watu kuhusiana na tatizo hilo.

 

11 years ago

GPL

KINACHOSUMBUA SI MUUNDO WA SERIKALI BALI AINA GANI YA MUUNDO

NIMSHUKURU Mungu kwa kuweza kunipa uhai leo na kunifanya niweze kuyaandika haya niliyoyakusudia.
Mada kuu kila kona hivi sasa hapa nchini ni muundo gani wa serikali utafaa kufuatwa na nchi yetu.
Hakika kitu kinachosumbua vichwa vya wengi siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru muungano huu uliodumu kwa miaka 50. Wapo watu wanaotaka iwepo serikali moja japokuwa hili nina uhakika kwa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Dawa feki za malaria marufuku

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema  maduka ya dawa yatakayobainika kuuza dawa za malaria zilizokwisha muda yatafungiwa na kunyang’anywa leseni ya biashara. Akizungumza katika mkutano wa kujadili malaria na mikakati yake uliofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, Dk Rashid alisema uuzaji wa dawa zilizokwisha muda  na zilizopigwa marufuku kama tiba ya malaria, ndicho chanzo cha kuzorota kwa vita dhidi ya ugonjwa huo. “Mmiliki wa duka ambaye kwa kawaida ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MSD: Tuna dawa za malaria za kutosha

PAMOJA na kuwepo malalamiko ya kukosekana kwa dawa za malaria katika hospitali mbalimbali nchini, Bohari ya Dawa (MSD), imesema ina dawa hizo za kutosha. Akizungumza na Tanzania Daima katika maadhimisho...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa ya malaria yatumika kurembesha nywele

>Tabia ya kutumia vitu vyenye kemikali bila ya ushauri wa kitaalamu imeendelea kujijenga miongoni mwa Watanzania, ambapo sasa dawa ya malaria aina ya Metakelfin  inatumika kutengeneza kipodozi cha kurembesha nywele.

 

10 years ago

Mwananchi

MALARIA: Vimelea sugu kwa dawa ya Mseto vyaibuka

>Taarifa za hivi karibuni za kitafiti kutoka Shirika la Aya Duniani (WHO) zinasema baadhi ya nchi katika Bara la Asia zimeripoti kuwapo kwa usugu  wa vimelea vya malaria dhidi ya kiambata kikuu kinachotumika katika kutengeneza dawa mseto aina zote, zikiwamo zinazotumika Tanzania. Usugu huo kwa mujibu wa ripoti ya WHO umeonekana  kwa vimelea vya malaria aina ya Plasmodium falcipuram. Hiki ndicho kimelea kinachoongoza kwa kusababisha malaria duniani.

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa uwekezaji wa pamoja wazinduliwa nchini

 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Core Securities Limited, Bw. George Fumbuka akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Umande Unit Trust (UTT), mfuko wa uwekezaji wa pamoja utakaowawezesha wakezaji wengi kukusanya mitaji yao kwa pamoja ili kupata mtaji mkubwa zaidi. Ameambatana na Meneja uendeshaji wa kampuni hiyo Bw. Jonathan Swalala (Kulia) na Meneja Mahusiano ya Wawekezaji, Bi. Sandra Felician (kushoto). UUT ni mfuko wa pili wa pamoja kusajiliwa nchini, kufuatia...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani