Usugu wa vimelea vya Malaria kutafitiwa
wanasayansi wanatafiti namna vimelea vya ugonjwa wa malaria jinsi vinavyoendelea kuwa sugu kwa dawa zilizokuwa zinatibu ugonjwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Aug
MALARIA: Vimelea sugu kwa dawa ya Mseto vyaibuka
>Taarifa za hivi karibuni za kitafiti kutoka Shirika la Aya Duniani (WHO) zinasema baadhi ya nchi katika Bara la Asia zimeripoti kuwapo kwa usugu wa vimelea vya malaria dhidi ya kiambata kikuu kinachotumika katika kutengeneza dawa mseto aina zote, zikiwamo zinazotumika Tanzania. Usugu huo kwa mujibu wa ripoti ya WHO umeonekana kwa vimelea vya malaria aina ya Plasmodium falcipuram. Hiki ndicho kimelea kinachoongoza kwa kusababisha malaria duniani.
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Tujitahidi Alu isiwe sugu kwa vimelea wa malaria
Mwishoni mwa mwaka jana taarifa za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionyesha kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto walio na umri chini ya miaka mitano, vinavyotokana na ugonjwa wa malaria.
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Trump 'anajiuliza ni kwanini ' watu wanapiga simu sana kuulizia ufanisi wa kemikali za kuua vimelea
Rais anasema kuwa hawajibiki kabisa na kuongezeka kwa sana kwa idadi ya simu zinaripotiwa kupigwa na watu kwa vituo vya dharura juu ya kemikali za kuua vimelea wa magonjwa.
10 years ago
Michuzi11 years ago
Mwananchi09 May
Usugu wa dawa ni hatari kuliko Ukimwi
>Umejikata kwa bati mguuni, lakini unaonekana kutojali ukijua kuwa ni jeraha dogo tu ambalo huhitaji matibabu rasmi ili upone.
10 years ago
Mwananchi01 Mar
UANDIKISHWAJI: Usugu wa vidole kwa BVR watatuliwa
>Tatizo la watu wenye vidole sugu ambao awali vilishindwa kusomwa na mashine zinazotumika kuandikisha wapigakura za Biometrick Voters Registration (BVR) limepatiwa ufumbuzi na wataalamu wa mashine hizo walioambatana na tume katika mji huu kwa ajili ya kazi hiyo.
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Vipimo vipya vya Malaria TZ
Tanzania kutumia Kipimo kipya cha kugundua vimelea vya Malaria kwa haraka kijulikanacho kama MRDT
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Vijidudu vya Malaria vyagundulika, Asia
Watafiti wametoa tahadhari kunduliwa kwa vijidudu vipy vya malaria visivyoweza kuuawa kwa dawa vimetapakaa katika Asian
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini
Malaria ni miongoni mwa magonjwa sugu ambayo yamekuwa yakichangia vifo vya Watanzania wengi hususan watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania