Vijidudu vya Malaria vyagundulika, Asia
Watafiti wametoa tahadhari kunduliwa kwa vijidudu vipy vya malaria visivyoweza kuuawa kwa dawa vimetapakaa katika Asian
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Ukweli kuhusu kemikali za kuua vijidudu na mapambano dhidi ya virusi vya corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZJG-jMYT2_g/Xn7k78Fk2gI/AAAAAAALlWg/lHJ-IoXwSTMMcUUhJhEELU6iKlKrPEPqQCLcBGAsYHQ/s72-c/0335e4ed-ca65-407b-a452-afedd86344fc.jpg)
ARUSHA YAZINDUA ZOAEZI LA KUPULIZA DAWA KUUWA VIJIDUDU NA KUWAKINGA ABIRIA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Na Jusline Marco;Arusha
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Gabriel Daqarro amezindua zoezi la upulizaji wa dawa ya kuuwa vijidudu kwa lengo la kuwakinga abiria na maambukizi ya virusi vya Corona pindi wanapotumia vyombo vya usafiri.
Zoezi hilo limezinduliwa leo rasmi kwa mabasi yanayotoka Jiji la Arusha kuelekea mikoa mingine , pamoja na vyombo vingine vya usafiri wa umma vinavyotumika katika safari za ndani ya Jiji la Arusha.
Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/rGYvqTPuSok/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Rushwa, ukiukaji wa sheria vyagundulika katika kampeni
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Vipimo vipya vya Malaria TZ
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Usugu wa vimelea vya Malaria kutafitiwa
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Virusi: ‘Vijidudu’ vidogo vinavyotikisa fani ya tiba duniani
9 years ago
StarTV27 Nov
 Mratibu Maabara Korogwe kukamatwa  kwa Jaribio La Kuiba Vipimo Vya Malaria
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara wa halmashauri ya mji huo kwa madai ya kufanya jaribio la wizi wa vipimo vya kupimia ugonjwa wa Malaria MRDT.
Basondole anatuhumiwa kuchukua boksi la vifaa hivyo kutoka halmashauri ya wilaya ya Korogwe vijijini akidai Halmashauri ya Mji wa Korogwe anakofanya kazi kuna upungufu wa vifaa hivyo.
Ofisa wa dawa wa halmashauri ya wilaya ya Korogwe Issa Mkwawa amesema tukili lilo limetokea Novemba 11 na...