Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tujitahidi Alu isiwe sugu kwa vimelea wa malaria

Mwishoni mwa mwaka jana taarifa za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionyesha kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto walio na umri chini ya miaka mitano, vinavyotokana na ugonjwa wa malaria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MALARIA: Vimelea sugu kwa dawa ya Mseto vyaibuka

>Taarifa za hivi karibuni za kitafiti kutoka Shirika la Aya Duniani (WHO) zinasema baadhi ya nchi katika Bara la Asia zimeripoti kuwapo kwa usugu  wa vimelea vya malaria dhidi ya kiambata kikuu kinachotumika katika kutengeneza dawa mseto aina zote, zikiwamo zinazotumika Tanzania. Usugu huo kwa mujibu wa ripoti ya WHO umeonekana  kwa vimelea vya malaria aina ya Plasmodium falcipuram. Hiki ndicho kimelea kinachoongoza kwa kusababisha malaria duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Usugu wa vimelea vya Malaria kutafitiwa

wanasayansi wanatafiti namna vimelea vya ugonjwa wa malaria jinsi vinavyoendelea kuwa sugu kwa dawa zilizokuwa zinatibu ugonjwa

 

10 years ago

Vijimambo

ALU KALALA NYANG'ORO AFUTURISHA DURHAM, NC

 Mzee Yusuf Kalala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mmoja ya wanae Bi. Mariam wakati wa kupata futari iliyoandaliwa nyumbani kwa dada mkubwa Alu (hayupo pichani) siku ya Jumanne June 30, 2015 Durham, North Carolina nchini Marekani Feisal ambaye alikua dereva taxi maarufu enzi hizo za Mbowe, ushirika Club akipata picha ya upendeleo alipokua kwenye futari iliyoandaliwa na dada Alu (hayupo pichani) nyumbani kwake Durham, North Carolina nchini Marekani.Dada Alu akiongea jambo na...

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti hii isiwe kiini macho kwa wananchi

Jana Waziri wa Fedha, Saada Mkuya aliwasilisha bajeti kuu ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2015/16.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

10 years ago

Dewji Blog

Novartis and Malaria No More help fulfill malaria treatment goal in Zambia by raising funds for three million treatments through Power of One

novartis

-Power of One campaign, supported by exclusive treatment sponsor Novartis, raises funds for three million treatments for children with malaria

-Novartis associates rallied behind Power of One to fund close to 500,000 antimalarial treatments for Zambia

-Company reaches delivery landmark with 700 million antimalarial treatments supplied without profit in 60 malaria-endemic countries since 2001

Novartis (http://www.novartis.com) announced today that, through Power of One, enough funds have...

 

10 years ago

Mwananchi

KCMC-KCRI yatumia teknolojia mpya kutambua vimelea vipya

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2009, Taasisi ya Utafiti ya Kilimanjaro (KCRI) ya Shirika la Msamaria Mwema (GSF), iliyopo KCMC, imekuwa ikijenga uwezo wake wa kufanya tafiti ambazo ni kipaumbele kwa taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani