DAWASCO YASAFISHA KARIAKOO
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO , Mhandisi Cyprian Luhemeja akishirikiana na wafanyakazi wa DAWASCO katika zoezi la usafi kwenye soko la Kariakoo katika maadhimisho ya siku ya Usafi kitaifa.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Mecky Sadick pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja wakiendelea na zoezi la usafi.
Shirika la majisafi na majitaka Dar es salaam(Dawasco) katika kutekeleza agizo la mh. Rais john pombe magufuli la kuadhimisha sherehe za uhuru kwa kufanya usafi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Simba yasafisha usajili wake
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’
Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.
Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
TPB yasafisha soko la Feri, yatoa vifaa vya usafi, ni katika kuunga mkono uamuzi wa Rais Magufuli wa Uhuru ni kazi
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Henry Bwogi, akizibua chemba ya kupitisha maji taka kwenye zoni 3 ya soko la samaki la kimataifa Feri jijini Dar es Salaam Desemba 9, 2015. TPB imeungana na watanzania katika kuunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya usafi ili kutekeleza zana ya “Uhuru ni Kazi” badala ya kufanya sherehe na matamasha huku nchi ikakabiliwa na ugonjwa wa...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Dawasco yatahadharisha wananchi
WANANCHI wameshauriwa kufuata kanuni na taratibu sahihi za upatikanaji wa huduma za maji, ili kujiepusha na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wenye lengo la kuharibu jina la Shirika la...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Wadaiwa kuihujumu Dawasco
BAADHI ya wamiliki wa nyumba katika maeneo ya Salasala na Mbezi Beach, Dar es Salaam wamedaiwa kulihujumu Shirika la Majisafi na Majitaka (Dawasco) kwa kuuza maji kwa magari yanayosambaza huduma...
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
DAWASCO yawapoza wakazi Kidunda
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAMLAKA ya Maji Safi na Taka Dar es Salaam (DAWASA), imewahakikishia wakazi wa Kidunda, wilayani Morogoro kwamba inapitia upya baadhi ya malalamiko juu ya fidia zao katika mradi wa bwawa la Kidunda na kuyapatia ufumbuzi.
Hayo yalibainishwa jana na Mthamini wa Mali za DAWASA, Mhandisi John Kwecha, alipzungumza na waandishi wa habari mjini hapa juu ya malalamiko hayo.
Alisema baada ya kulipa fidia katika eneo la mradi wa bwawa la Kidunda, wamepokea malalamiko ya...
10 years ago
TheCitizen13 May
Heard you, Dawasco boss, let’s see action now!
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Dawasco yazima mitambo ya maji
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar...
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Dawasco yaidai Serikali Sh15bilioni