Dawasco yatahadharisha wananchi
WANANCHI wameshauriwa kufuata kanuni na taratibu sahihi za upatikanaji wa huduma za maji, ili kujiepusha na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wenye lengo la kuharibu jina la Shirika la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2574130/highRes/911159/-/maxw/600/-/pxc51bz/-/kimbunga_mvua.jpg)
10 years ago
Mwananchi31 Dec
TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Polisi Yatahadharisha Wananchi Kuhusu Mkesha wa Mwaka Mpya
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA
Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea katika maeneo mbalimbali ya starehe, ambapo uzoefu unaonyesha kuwa baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vinavyohatarisha usalama wa raia mali zao.
Jeshi la Polisi nchini, limejipanga vizuri katika mikoa yote kwa kushirikiana na vyombo...
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Bawacha yatahadharisha wagombea
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Wakala wa Vipimo yatahadharisha wanunuzi
OFISA Vipimo wa Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam, Hashimu Athumani, amewatahadharisha wanunuzi wa bidhaa kuwa makini na hila zinazofanywa na wafanyabiashara kuharibu vipimo kwa ajili ya kujiongezea faida, hali...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ihINSPsK56A/XtNzKm3fOrI/AAAAAAALsGg/60ZPGi028Mc7zauKdexLrddRBngCizwSQCLcBGAsYHQ/s72-c/1AAA-2.jpg)
SERIKALI YATAHADHARISHA ‘TEGESHA’ NYAMONGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-ihINSPsK56A/XtNzKm3fOrI/AAAAAAALsGg/60ZPGi028Mc7zauKdexLrddRBngCizwSQCLcBGAsYHQ/s640/1AAA-2.jpg)
Mthamini Mkuu wa Serikali Evelyne Mugasha akizungumza wakati wa utoaji notisi ya kusitisha maendelezo katika kijiji cha Komorea eneo la Nyamongo wilayani Tarime mkoa wa Mara mwishoni mwa wiki kupisha shughuli za uchimbaji madini katika mgodi wa Barrick North Mara. Kushoto kwa Evelyne ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Injinia Mtemi Msafiri na kushoto ni Katibu Tawala wilaya John Marwa
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2AA-1024x604.jpg)
Mthamini Mkuu wa Serikali Evelyne Mugasha akizungumza wakati wa utoaji notisi ya kusitisha maendelezo katika...
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
TMA yatahadharisha upepo, mawimbi
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa baharini kuanzia Septemba 1 hadi 2 mwaka huu. Tahadhari hiyo ilitolewa jana kupitia...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Serikali yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa Dengue
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
TMA yatahadharisha uwepo mvua mkubwa
MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuwepo kwa mvua kubwa inayozidi mililita 50 ndani ya saa 24 kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, mwaka huu. Tahadhari ya mvua hiyo...