Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakala wa Vipimo yatahadharisha wanunuzi

OFISA Vipimo wa Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam, Hashimu Athumani, amewatahadharisha wanunuzi wa bidhaa kuwa makini na hila zinazofanywa na wafanyabiashara kuharibu vipimo kwa ajili ya kujiongezea faida, hali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA

 Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVKATIKA kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani, Mkurugenzi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Stella Kahwa amesema kuwa Wakala huo upo sehemu zote hapa nchini kuhakikisha Vipimo katika Malighafi na bidhaa mbalimbali vinatumika na kuzingatiwa kwa usahihi.
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...

 

11 years ago

Habarileo

Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia

WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Wakala wa Vipimo aonya wananchi

Deogratias ManenoWAKALA wa Vipimo nchini (WMA) umewasisitiza wananchi kutambua kuwa wanaponunua bidhaa yoyote hususani za gesi wapimiwe kufahamu kiwango chake kwa kuwa ni haki yao ya msingi.

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO MKOA WA ILALA WAMEWAAGIZA WAFANYABIASHARA KUHAKIKI MIZANI YAO

 Mfanyabiashara mkazi wa Malapa Aisha Ally akifanya maalipo baada ya mizani yake kuhakikiwa na Afisa Vipimo Clement Costantino. Mkazi wa Buguruni Victor Kelei akihakiki mizani yake eneo la ofisi ya Kata ya Buguruni Mtaa wa malapa.Mafundi wakitengeneza au kurekebisha mizani yenye hitilafu Kata ya Buguruni Mtaa wa malapa.
WAKALA wa Vipimo mkoa wa Ilala  umewataka wafanyabiashara wanaoagiza ama kuuza mizani mipya kuhakikisha mizani hiyo imehakikiwa na Wakala wa Vipimo kwa mujibu wa sheria.
Wito...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIPONGEZA WAKALA WA VIPIMO (WMA)

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Dkt. Ludovick Manege (aliyenyoosha mkono)  akiwaongoza wabunge wa kamati ya kudumu ya bunge Viwanda, Biashara na Mazingira waliofika kutembelea katika kituo cha Misugusugu Kibaha - Pwani kujionea shughuli zinazofanywa ikiwemo kujifunza mambo mbali mbali.
Mjumbe wa kamati ya bunge viwanda, biashara na mazingira akiuliza swali mara baada ya  mara baada ya katika kituo Wakala wa Vipimo kilichopo Misugusugu kilichoko mkoani Kibaha - Pwani. Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

Michuzi

HATUTAKI MANENO TUNATAKA WANUNUZI WENYE FEDHA, RC KAGERA AWATAKA WANUNUZI WA KAHAWA KUINGIA SOKONI

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Kahawa Ofisini kwake Mjini Bukoba, leo tarehe 4 Juni 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Kahawa Ofisini kwake Mjini Bukoba, leo tarehe 4 Juni 2020. Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Tanzania Prof Jamal Adam akiteta jambo na Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasco yatahadharisha wananchi

WANANCHI wameshauriwa kufuata kanuni na taratibu sahihi za upatikanaji wa huduma za maji, ili kujiepusha na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wenye lengo la kuharibu jina la Shirika la...

 

10 years ago

Mwananchi

Bawacha yatahadharisha wagombea

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limewatahadharisha wagombea wa uongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwa makini ili kuepuka kuingia katika mgogoro wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani