Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakala wa Vipimo aonya wananchi

Deogratias ManenoWAKALA wa Vipimo nchini (WMA) umewasisitiza wananchi kutambua kuwa wanaponunua bidhaa yoyote hususani za gesi wapimiwe kufahamu kiwango chake kwa kuwa ni haki yao ya msingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA

 Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVKATIKA kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani, Mkurugenzi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Stella Kahwa amesema kuwa Wakala huo upo sehemu zote hapa nchini kuhakikisha Vipimo katika Malighafi na bidhaa mbalimbali vinatumika na kuzingatiwa kwa usahihi.
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...

 

11 years ago

Habarileo

Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia

WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakala wa Vipimo yatahadharisha wanunuzi

OFISA Vipimo wa Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam, Hashimu Athumani, amewatahadharisha wanunuzi wa bidhaa kuwa makini na hila zinazofanywa na wafanyabiashara kuharibu vipimo kwa ajili ya kujiongezea faida, hali...

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO MKOA WA ILALA WAMEWAAGIZA WAFANYABIASHARA KUHAKIKI MIZANI YAO

 Mfanyabiashara mkazi wa Malapa Aisha Ally akifanya maalipo baada ya mizani yake kuhakikiwa na Afisa Vipimo Clement Costantino. Mkazi wa Buguruni Victor Kelei akihakiki mizani yake eneo la ofisi ya Kata ya Buguruni Mtaa wa malapa.Mafundi wakitengeneza au kurekebisha mizani yenye hitilafu Kata ya Buguruni Mtaa wa malapa.
WAKALA wa Vipimo mkoa wa Ilala  umewataka wafanyabiashara wanaoagiza ama kuuza mizani mipya kuhakikisha mizani hiyo imehakikiwa na Wakala wa Vipimo kwa mujibu wa sheria.
Wito...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIPONGEZA WAKALA WA VIPIMO (WMA)

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Dkt. Ludovick Manege (aliyenyoosha mkono)  akiwaongoza wabunge wa kamati ya kudumu ya bunge Viwanda, Biashara na Mazingira waliofika kutembelea katika kituo cha Misugusugu Kibaha - Pwani kujionea shughuli zinazofanywa ikiwemo kujifunza mambo mbali mbali.
Mjumbe wa kamati ya bunge viwanda, biashara na mazingira akiuliza swali mara baada ya  mara baada ya katika kituo Wakala wa Vipimo kilichopo Misugusugu kilichoko mkoani Kibaha - Pwani. Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi waaswa kuachana na Matumizi ya Vipimo visivyo Rasmi

DSCI0058

Kaimu Meneja Sehemu ya Habari toka Wakala wa Vipimo Bi. Irene John akiwaeleza jambo waandishi wa Habari (hawapo pichani) na kuwatahadharisha wananchi kuhusu matumizi ya vipimo batili unaofanywa kwa kusutumia visado na ndoo za Plastiki. Wanaofuata Kushoto kwake ni Afisa Habari Idara ya Habari (MAELEZO) Frank Mvungi,Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi Bw. Peter Masinga na Mwisho ni Meneja wa Upimaji Bw. Richard Kadeghe.

DSCI0084

Mkuu wa Kitengo cha Sheria Toka Wakala wa Vipimo Bw. Moses Mbunda akiwaeleza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaume wakimbia vipimo

WANAWAKE wengi wa Tarafa ya Mwese katika Halmashauri ya Wilaya ya  Mpanda mkoani  Katavi, wanalazimika kujifungulia nyumbani kutokana na kunyimwa huduma kwenye kliniki baada ya  kushindwa  kwenda na waume zao kupimwa afya. Hayo yalielezwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Vipimo vyamchongea Andrey Coutinho

Kocha Mkuu wa Yanga Hans Pluijm amefanikisha ahadi yake ya kumpeleka kiungo Andrey Coutinho katika kufanyiwa vipimo maalum kuangalia uwezo wake ambapo sasa majibu yaliyotoka yameanza kumuweka katika wakati mgumu Mbrazil huyo.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Sheria mpya ya vipimo iharakishwe’

Patricia Kimelemeta
MAMLAKA ya Wakala wa Vipimo (WMA)wameiomba serikali kuharakisha sheria ya vipimo itakayotoa adhabu kali kwa wafanyabiashara watakaobainika wanatumia vipimo batili kuwadhulumu wananchi.
Kauli hiyo imetolewa siku chache baada ya maofisa wa WMA kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika baadhi ya vituo vya mafuta na kubaini idadi kubwa ya vituo hivyo vinaharibu pampu za mafuta na kuwadhulumu wananchi ili kupata faida kubwa.
Katika ukaguzi huo, Mkoa wa Vipimo wa Kinondoni ulibaini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani