Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC akanusha familia kuchemsha mawe

MKUU wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly amekanusha taarifa za watu wa wilayani yake kuchemsha mawe kwa ajili ya kukosa chakula kutokana na kukithiri kwa njaa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa kuchemsha maji-1

Wengi tunakunywa maji katika maisha yetu kila siku. Lakini, swali la kujiuliza ni je, tunachemsha maji hayo kabla ya kuyanywa?

 

9 years ago

Mwananchi

Kuchemsha maji kuepuka kipindupindu

Baadhi ya mikoa hapa nchini, ikiwamo Dar es salaam, Pwani na Morogoro inakabiliwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu karibu mwezi mmoja sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RT yakiri kuchemsha riadha taifa

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amekiri mbio za taifa kufanyika chini ya kiwango kutokana na kukosa maandalizi mazuri, hivyo kuwepo kwa dosari kiasi cha kushusha...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yakiri teknolojia ya BVR ‘kuchemsha’

Serikali imekiri kuwapo kwa upungufu katika uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya (BVR) wakati wa majaribio na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inayoratibu zoezi hilo kulirudia maeneo yote litakapoanza rasmi mapema mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Liewig ajitetea Stand United kuchemsha

Wakati uongozi wa Stand United ukiwakingia kifua mashabiki wa timu hiyo kwa kumfanyia vurugu kocha, Patrick Liewig mwenyewe amesema uwezo wake hauwezi kupimwa kwa mechi mbili.

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

10 years ago

Mwananchi

Makaa ya mawe kutumika kupikia

Gharama za maisha pamoja na uharibifu wa mazingira utapungua baada ya Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka kubuni mpango wa kutumia makaa hayo kama nishati ya kupikia.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani