Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC aonya maofisa wanafunzi kidato1

Mkuu wa wilaya ya Masasi, Farida Mgomi,MKUU wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Farida Mgomi, ametoa wiki mbili kwa watendaji wa kata na vijiji wakiwemo watendaji wa Halmashauri zilizopo katika wilaya hiyo, kuhakikisha watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaripoti shuleni vinginevyo hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Maofisa wa UN wahamasisha wanafunzi wa Jangwani kutekeleza ajenda za Umoja wa Mataifa

DSC_0132

Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Bi. Usia Nkhoma Ledama, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani akiwa ameambatana na maafisa wenzake wa mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa unazishwe. Kushoto kwa Bi Ledama ni Albert Okal (ILO).

Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa uanzishwe zimeanza nchini, na leo jumatano  maofisa waandamizi wa UN walitembelea shule ya sekondari ya...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Nkuruzinza aonya





RAIS Pierre Nkuruzinza, ametoa onyo kali kuhusiana na jaribio lingine lolote la kutaka kuchukua madaraka ya nchi hiyo kwa kutumia nguvu.
Alisema jaribio la namna hiyo halipaswi kufanyika tena na serikali itahakikisha inakabiliana na makundi yenye nia ya kuvuruga amani kwa kuwa vitendo hivyo vitasababisha umasikini na vita.
Nkuruzinza alitoa kauli hiyo ikiwa ni siku mbili baada ya Marekani kumuonya kutoendelea na nia ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Marekani imesema kitendo cha Nkuruzinza...

 

11 years ago

Habarileo

JK aonya wahamiaji haramu

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Sefue aonya

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watumishi wa umma nchini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuleta tija kwenye maeneo yao ya kazi. Sefue aliyasema hayo jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri aonya walimu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amewataka walimu wa shule za msingi na sekondari nchini kutimiza wajibu wao wa kufundisha wanafunzi madarasani badala ya kuendelea na tabia ya kuwatelekeza.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu aonya wanasiasa

KIONGOZI wa kanisa la Cathedral of Joy, Askofu John Komanya amehadharisha wabunge na watu wanaowania nafasi za uongozi katika chaguzi zijazo, kutojihusisha na ushirikina kwa kile alichodai wakifanya hivyo, hawatashinda.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ally Choki aonya

UONGOZI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, umesema umegundua malengo ya watu wachache kutoka ndani ya bendi hiyo, ambao wanafanya mikakati ya kuifanya ife na kuipoteza katika ramani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani