Nkuruzinza aonya
![](http://2.bp.blogspot.com/-CNd32FzMHZg/VVi1QtLsgxI/AAAAAAAACIY/u_8a9tt0NqE/s72-c/RAIS%2Bwa%2BBurundi%2BPierre%2BNkuruzinza.jpg)
RAIS Pierre Nkuruzinza, ametoa onyo kali kuhusiana na jaribio lingine lolote la kutaka kuchukua madaraka ya nchi hiyo kwa kutumia nguvu.
Alisema jaribio la namna hiyo halipaswi kufanyika tena na serikali itahakikisha inakabiliana na makundi yenye nia ya kuvuruga amani kwa kuwa vitendo hivyo vitasababisha umasikini na vita.
Nkuruzinza alitoa kauli hiyo ikiwa ni siku mbili baada ya Marekani kumuonya kutoendelea na nia ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Marekani imesema kitendo cha Nkuruzinza...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 May
Ya Nkuruzinza yaweza kutokea nchini, wasomi waonya
11 years ago
Habarileo17 Jul
Waziri aonya walimu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amewataka walimu wa shule za msingi na sekondari nchini kutimiza wajibu wao wa kufundisha wanafunzi madarasani badala ya kuendelea na tabia ya kuwatelekeza.
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ally Choki aonya
UONGOZI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, umesema umegundua malengo ya watu wachache kutoka ndani ya bendi hiyo, ambao wanafanya mikakati ya kuifanya ife na kuipoteza katika ramani...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Balozi Sefue aonya
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watumishi wa umma nchini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuleta tija kwenye maeneo yao ya kazi. Sefue aliyasema hayo jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Wenje aonya makandarasi
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), ametishia kuwachukulia hatua kali makandarasi watakaojenga miradi ya zahanati na wodi ya wazazi, inayotekelezwa na fedha za Mfuko wa Jimbo (CDCF), chini ya kiwango....
10 years ago
Habarileo13 Nov
Askofu aonya wanasiasa
KIONGOZI wa kanisa la Cathedral of Joy, Askofu John Komanya amehadharisha wabunge na watu wanaowania nafasi za uongozi katika chaguzi zijazo, kutojihusisha na ushirikina kwa kile alichodai wakifanya hivyo, hawatashinda.
11 years ago
Habarileo02 Jan
JK aonya wahamiaji haramu
RAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.
10 years ago
Habarileo08 Oct
Kikwete aonya mabalozi
RAIS Jakaya Kikwete amesema upo ushahidi unaothibitisha kuwa baadhi ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini wamekuwa wakichanganya dini na siasa kuunga mkono shughuli za kisiasa za baadhi ya vyama.
11 years ago
Habarileo31 Mar
Shivji aonya serikali 3
GWIJI wa masuala ya sheria za katiba nchini, Profesa Issa Shivji amewataka vijana kujiepusha na wanasiasa wenye uchu wa madaraka ambao kwa sasa wanang'ang'ania muungano wa serikali tatu ili kukidhi matakwa yao.