Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Kipozi aamriwa kurejesha saruji

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, kurudisha mifuko 700 ya saruji ambayo alimkabidhi ikiwa ni mchango wake katika ujenzi wa maabara...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA RADHIA KIPOZI-SUZUKI NCHINI JAPAN

Na hiki ni kipindi kilicho enda hewani Mwezi wa 12 mwaka jana katika televisheni ya Taifa nchini Japani ya NHK. Kipindi hiki kilihusu safari ya Bi Radhia Kipozi-Suzuki alipo tembelea kijiji cha Umaji kilichopo Kouchi Japani. Hapa naongelea kuhusu utamaduni mbalimbali wa Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

RUFAA YA DC CHEMBA, YATUPWA AAMRIWA KUTOA MATUNZO YA MTOTO

Na Karama Kenyunko, Michuzi TVMAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Odunga kutoa Sh. Milioni saba kama sehemu ya gharama ya matunzo ya kumsomesha mtoto wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Aprili 29, 2020 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ambaye amekazia hukumu hiyo na kumtaka Odunga kutoa kiasi hicho cha fedha Kama ilivyoamuliwa na...

 

11 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO, MBUNGE ATINGA NA BANGO KUWANIA NAFASI, AAMRIWA ASAULE

 Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo Juni 11, 2014.  Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akivua bango alilokuwa ameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

mhe kipozi ala pozi na wanahabari waliokuwa wakiripoti kampeni za ubunge jimbo la chalinze

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Ahmed Kipozi (wa nane, waliosimama) akiwa na kundi la wanahabari kutoka vyombo mbalimbali waliokuwa wakiripoti taarifa za uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze uliomalizika mwishoni mwa juma na mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete kuibuka mshindi. Mhe. Kipozi, ambaye yeye mwenyewe ni mwanahabari mkongwe,  amewashukuru sana wanahabari hao pamoja na vyombo vyote kwa uahirikiano waliotoa pamoja na kazi iliyojaa weledi katika kipindi chote cha kampeni

 

11 years ago

Tanzania Daima

ARM yatoa msaada wa saruji

KIWANDA cha ARM, kimetoa msaada wa mifuko 100 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni moja kwa lengo la kumalizia vyumba viwili vya maabara vinavyojengwa katika shule ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bei ya mafuta, saruji zidhibitiwe


Na mwandishi wetu
WAKATI Bajeti Kuu ya serikali ya mwaka wa fedha 2014/2015, ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni leo, Mkuu wa Kitengo cha Sayansi ya Siasa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, ameshauri bei ya mafuta idhibitiwe na kuwa chini.
Alisema mafuta ni nishati muhimu ambayo inagusa maisha ya kila mwananchi na kwamba yakipanda bei yanachangia maisha ya wananchi kuwa magumu.
Dk. Bana alisema hayo jana alipokuwa akitoa maoni yake kuhusu muelekeo wa bajeti kuu ya serikali...

 

10 years ago

Mtanzania

Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati

Pg 1 magufuliNA BAKARI KIMWANGA, TUNDURU

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anashusha bei ya saruji na mabati ili kila Mtanzania aweze kufurahia
maisha kwa kujenga nyumba bora na nzuri.

Amesema hatakuwa tayari kuona bei ya vifaa vya ujenzi ikipaa hali ya kuwa viwanda vipya vitaanza uzalishaji.

Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni za kuomba kuchaguliwa kuwa rais katika wilaya za...

 

10 years ago

Mwananchi

Uingizaji wa saruji kiholela wawaliza wazawa

Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Tanga Cement) kimeiomba Serikali kudhibiti uingizwaji wa saruji kutoka nje ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli kupunguza bei ya saruji, mabati

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema endapo atachaguliwa, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi vikiwamo saruji na mabati kuanzia mwakani akisema tayari kuna viwanda vikubwa ambavyo vimeshaanza kujengwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani