mhe kipozi ala pozi na wanahabari waliokuwa wakiripoti kampeni za ubunge jimbo la chalinze

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Ahmed Kipozi (wa nane, waliosimama) akiwa na kundi la wanahabari kutoka vyombo mbalimbali waliokuwa wakiripoti taarifa za uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze uliomalizika mwishoni mwa juma na mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete kuibuka mshindi. Mhe. Kipozi, ambaye yeye mwenyewe ni mwanahabari mkongwe, amewashukuru sana wanahabari hao pamoja na vyombo vyote kwa uahirikiano waliotoa pamoja na kazi iliyojaa weledi katika kipindi chote cha kampeni
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
KAMAPENI ZA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA
10 years ago
Michuzi
KAMPENI JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA
11 years ago
GPL
WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE WAPIGA KURA ZAO
11 years ago
Michuzi12 Mar
watano wachukua fomu kugombea ubunge jimbo la chalinze
Jumla ya wagombea watano wamechukua fomu za kuwania Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Bagamoyo, Zoezi litafungwa rasmi tarehe 12 Machi 2014 saa kumi kamili alasiri, kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo, David Shija.
Wagombea hao ni:-
Mathayo Torongey (CHADEMA) Phabian Skauki wa (CUF) Vuniru Hussein (NRA) Ramadhan Mgaya (ASP) Ridhiwani Kikwete (CCM)
11 years ago
Michuzi07 Apr
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Na John Bukuku Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na Msimamizi...
11 years ago
GPL
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA
11 years ago
Michuzi
CCM YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE


11 years ago
GPL
MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, RIDHIWANI AOMBA KURA KATA YA UBENA