Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DENTI ALAZWA, KISA VIBOKO SHULENI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha, Kabula Wilson (18), alipoteza fahamu kisha kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Pwani, Tumbi, kwa madai ya kucharazwa bakora na walimu wake kisa, kukamatwa barua ya kuwatukana....Soma zaidi====>http://bit.ly/1J131ri ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DENTI ABAKWA, AZIMIA, ALAZWA

Stori: Haruni Sanchawa
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Liami wilayani Ifakara mkoani Morogoro (jina limehifadhiwa), amebakwa na watu wasiojulikana alfajiri ya Mei 5, mwaka huu nyumbani kwa bibi yake. Mwanafunzi ambaye jina lake limehifadhiwa akiwa hoi hospitali baada ya kubakwa. Akizungumza na gazeti hili, mama wa binti huyo mwenye umri wa miaka 13, Neema Ally akiwa wodi A ya watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alisema...

 

11 years ago

Habarileo

Wazazi waomba viboko vitumike shuleni

WAZAZI wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi na Sekondari Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuendelea kutumia adhabu ya viboko kwa wanafunzi ili kudhibiti vitendo vya utovu wa nidhamu kwa wanafunzi.

 

11 years ago

GPL

ANUSURIKA KUUAWA, KISA UBAKAJI WA DENTI!

Kijana Said (30) akipatiwa maji baada ya kupewa kichapo kikali kutoka kwa wananchi. Na Joseph Ngilisho, Arusha
MWANAUME anayedaiwa kuwa ni kinara wa ubakaji jijini hapa, Said (30) mkazi wa Mbauda, amenusurika kifo kwa kipigo kutoka kwa raia wenye hasira baada ya kunaswa akitoka kumbaka denti wa kidato cha pili hadi kupoteza fahamu. Said anayetajwa kuwa ‘mwenyekiti’ wa kundi linalojihusisha na ubakaji, alishambuliwa...

 

10 years ago

Habarileo

'Walimu punguzeni viboko'

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imetaka wazazi, walezi, walimu na wadau wengine kuwa macho na matumizi ya viboko kupindukia ikisema vitendo hivyo hutengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa mtoto kujifunza.

 

10 years ago

Mtanzania

Viboko vyatembezwa makaburini

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

NA VICTOR BARIETY, SENGEREMA

WAJUKUU wa marehemu Sabina Ngalu (77) wa jijini Mwanza, wamecharazwa bakora na watoto wa marehemu baada ya kung’ang’ania kaburini wakitaka kupewa fedha.

Tukio hilo la aina yake lilitokea katika Kitongoji cha Nyamwanza, Kata ya Sima, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza juzi muda mfupi baada ya mwili wa marehemu kuwasili eneo la mazishi ukitokea Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Yesu Kirsto Mfalme la mjini Sengerema.

Chanzo cha wajukuu hao zaidi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu achapwa viboko hadharani

Mwanablogu nchini Saudia amechapwa viboko hadharani kwa madai ya kutusi dini ya kiislamu.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto akimbia kwao viboko, mijeledi

MTOTO mmoja mkazi wa wilayani Bunda mkoani Mara, amelazimika kukimbia kwao na kwenda kwenye nyumba ya mtu mwingine katika mtaa mwingine, kukwepa viboko.

 

10 years ago

Mwananchi

Muuguzi aliyemchapa viboko mjamzito asakwe

Katika toleo letu la jana kulikuwa na habari iliyomuhusu mwanamke mmoja wa Dodoma ambaye alikuwa amepelekwa kituo cha afya cha Muungano wilayani Chamwino kwa ajili ya kujifungua, lakini akakutana na vitendo vya kikatili vilivyochangia mtoto afie tumboni.

 

10 years ago

Habarileo

Walioiba NMB jela miaka 37, viboko 24

WATU watano wamehukumiwa kifungo cha miaka 37 jela na kuchapwa viboko 24 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuvamia na kupora fedha benki ya NMB tawi la Maswa kwa kutumia silaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani