Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muuguzi aliyemchapa viboko mjamzito asakwe

Katika toleo letu la jana kulikuwa na habari iliyomuhusu mwanamke mmoja wa Dodoma ambaye alikuwa amepelekwa kituo cha afya cha Muungano wilayani Chamwino kwa ajili ya kujifungua, lakini akakutana na vitendo vya kikatili vilivyochangia mtoto afie tumboni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALIYEMCHAPA ODINGA BAKORA ASHITAKIWA

Bwana Lengo Karisa Mudzomba (40) akiwachapa bakora Raila Odinga na Salim Mvurya. MWANAMUME aliyemshambulia kiongozi wa Cord, Raila Odinga na Gavana wa Jimbo la Kwale, Salim Mvurya ameshtakiwa juzi katika mahakama ya Kwale nchini Kenya. Mtuhumiwa Lengo Karisa Mudzomba. Bwana Lengo Karisa Mudzomba (40), alishtakiwa mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi wa Kwale, Christine Njagi kwa kuwashambulia viongozi hao wawili na kuvuruga...

 

10 years ago

Mtanzania

Viboko vyatembezwa makaburini

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

NA VICTOR BARIETY, SENGEREMA

WAJUKUU wa marehemu Sabina Ngalu (77) wa jijini Mwanza, wamecharazwa bakora na watoto wa marehemu baada ya kung’ang’ania kaburini wakitaka kupewa fedha.

Tukio hilo la aina yake lilitokea katika Kitongoji cha Nyamwanza, Kata ya Sima, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza juzi muda mfupi baada ya mwili wa marehemu kuwasili eneo la mazishi ukitokea Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Yesu Kirsto Mfalme la mjini Sengerema.

Chanzo cha wajukuu hao zaidi ya...

 

10 years ago

Habarileo

'Walimu punguzeni viboko'

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imetaka wazazi, walezi, walimu na wadau wengine kuwa macho na matumizi ya viboko kupindukia ikisema vitendo hivyo hutengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa mtoto kujifunza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu achapwa viboko hadharani

Mwanablogu nchini Saudia amechapwa viboko hadharani kwa madai ya kutusi dini ya kiislamu.

 

10 years ago

Habarileo

Aliyempa mimba binti kuchapwa viboko

KIJANA wa kiume mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Kijiji cha Karundi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, amenusurika kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpatia ujauzito msichana mwenye umri wa miaka 16.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto akimbia kwao viboko, mijeledi

MTOTO mmoja mkazi wa wilayani Bunda mkoani Mara, amelazimika kukimbia kwao na kwenda kwenye nyumba ya mtu mwingine katika mtaa mwingine, kukwepa viboko.

 

10 years ago

Habarileo

Walioiba NMB jela miaka 37, viboko 24

WATU watano wamehukumiwa kifungo cha miaka 37 jela na kuchapwa viboko 24 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuvamia na kupora fedha benki ya NMB tawi la Maswa kwa kutumia silaha.

 

11 years ago

Habarileo

Wazazi waomba viboko vitumike shuleni

WAZAZI wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi na Sekondari Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuendelea kutumia adhabu ya viboko kwa wanafunzi ili kudhibiti vitendo vya utovu wa nidhamu kwa wanafunzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Saudia yaahirisha viboko vya mwanablogu

Mamlaka nchini Saudi Arabia kwa mara nyengine tena imeahirisha adhabu nyengine ya viboko dhidi ya mwanablogu Raif Badawi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani