Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Dereva asiyeweza, arudishe funguo zetu’

Madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) jana waligoma kwa mara nyingine kutoa huduma kwa madai ya kutaka kupunguziwa gharama za hesabu za kila siku kutoka Sh205,000 hadi Sh170,000, huku wakitakiwa kwenda njia wanazopangiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATAKA MAKONDA ARUDISHE FEDHA ZA TASAF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuzirudisha fedha za TASAF ambazo alizitumia vibaya kwa safari ya kwenda Dodoma ili hali sio Masikini.
Rais Magufuli ameyasema hayo hii leo tarehe 17, Febuari, 2020 wakati akizindua kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya mpango wa Maendelo wa kunusuru Kaya masikini wa TASAF. Hafla imefanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...

 

9 years ago

Mwananchi

Funguo nne za ulinzi wa afya yako

Ili mtu awe na afya nzuri, anahitaji chakula chenye lishe bora. Mtu anahitaji kula vyakula vya kujenga mwili, kuupa mwili nguvu na kulinda mwili.

 

11 years ago

Mwananchi

Wezi wenye funguo bandia watinga Dodoma

>Kundi la wezi wanaotumia funguo bandia kufungua milango ya vyumba katika nyumba za kulala wageni limevamia mjini Dodoma likilenga wageni waliopanga katika nyumba mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Bhakresa Group wakabidhiwa funguo za fuso 8 mpya

Meneja wa Usafirishaji wa Kampuni ya Azam,Bw. Omari Said (kushoto) akipokea funguo za Fuso mpya kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Diamond Motors,Bw. Vikram Verma wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.anayeshuhudia Katikati ni Meneja Mkuu wa Diamond Motors,Bw. Martin Laurian. Sehemu ya Fuso hizo.
Kampuni ya Bakhresa Group - maarufu kwa jina la Azam – ni kampuni ya kwanza ya wateja wa muda mrefu wa Diamond Motors (Hansa) kuthibitisha kuagiza Fuso...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI 'AMGEUZIA KIBAO'RC MAKONDA, AMTAKA ARUDISHE FEDHA ZA TASAF HARAKA

*Ni baada ya Makonda kudai mzee Mkapa alimpa fedha za TASAF
 Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
RAIS Dk.John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kurudisha fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) huku akifafanua huenda kuwa Makonda ni kati ya wanakaya ambao si masikini lakini wamepata fedha hizo.
Ametoa kauli hiyo leo Februari 17 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam wakati akizindua awamu ya tatu ya TASAF ikiwa ni mkakati wa mpango wa kunusuru kaya masikini kupitia...

 

10 years ago

Vijimambo

Shukurani zetu za dhati

Kamati ya Fundraising ya Rashidi Mkakile. Inawashukuru sana kwa mchango wenu wa hali na mali na moyo mliouonyesha na kuungana nasi siku ya tarehe 16/12/2014 ili kumsaidia ndugu yetu.

Japo kulikua na hali mbaya ya hewa lakini mlijitoa kutusaidia. kiasi cha fedha kilichopatikana tulitangaza siku ya tukio katika ukumbi. Zitamsaidia ndugu yetu wakati huu mgumu wa kuuguzwa.

Tunakushukuruni sana. Mungu awajaalieni nyote.

Tunasema asante sana kwa watanzania wa Boston na wana Massachusetts na state...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuzihurimie fedha zetu si UKAWA

WATANZANIA ni watu wa ajabu sana, maajabu yenyewe yanakuja hivi; linakuja wazo la kutengeneza kitu linakubaliwa kitu kitengenezwe. Inatengwa fedha nyingi sana kwa ajili ya maandalizi, kitu kinatengenezwa na kukubalika...

 

11 years ago

GPL

ZA KUAMBIWA NA JK, WARIOBA TUCHANGANYE NA ZETU

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Ijumaa iliyopita alilizindua rasmi Bunge Maalum la Katiba kwa kutoa hotuba iliyokigawa chombo hicho muhimu kwa taifa kwa sasa, baada ya wajumbe wake kutofautiana misimamo. Hotuba hiyo ya Rais, ilikuja siku chache tu baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani