Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond ndani ya BBA leo

MWANAMUZIKI nyota wa Tanzania anayetamba kwenye tasnia ya muziki, Nasseb Abdul ‘Diamond Platnumz leo anatarajiwa kupiga shoo ya nguvu kwenye ufunguzi rasmi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, nchini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND KUFANYA MAKAMUZI BBA LEO

Nasseb Abdul ‘Diamond Platnumz'. STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' leo anatarajiwa kupiga shoo ya nguvu kwenye ufunguzi rasmi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, nchini Afrika Kusini. Diamond anatarajiwa kupamba shoo hiyo ya ufunguzi ambapo pia atakuwa sambamba na mwanamuziki wa Nigeria, Davido watakapoimba wimbo wao wa ‘Number One Remix’. Hii ni mara ya pili kwa Diamond...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond Platnumz kuingia kwenye jumba la BBA Hotshots leo (Nov 27) kupiga story na washiriki

Diamond Platnumz tayari ametua jijini Johannesburg, Afrika Kusini toka jana, tayari kuhudhuria tuzo za Channel O (CHOAMVA) zinazotarajiwa kutolewa siku ya Jumamosi Nov.29 akiwa anawania vipengele vinne. Staa huyo ambaye ameachia ngoma mpya siku chache zilizopita ‘Ntampata wapi’, ameandika kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamaii kuwa pia leo Alhamisi Nov.27 atapata nafasi ya kuingia […]

 

9 years ago

Global Publishers

Shoo ya kifalme Diamond ndani ya Dar live leo

ymCTBkpSimba wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

MWANDISHI WETU
Dar es Salaam
SIKUKUU ya Krismasi si ndiyo leo? Jibu ni ‘ndiyooooo!’, sasa habari kamili ni kuwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani, wote wanatarajiwa kukutana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem ambapo Simba wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakuwa akifanya makamuzi.

Diamond, staa ambaye anasadikika kupata umaarufu mkubwa nje ya mipaka ya nchi zaidi ya wasanii wengi wa Bongo Fleva katika...

 

10 years ago

CloudsFM

DJ BULLA NDANI YA BBA WIKI JUMAMOSI HII

Dj kutoka Clouds FM,Dj Bullah wiki hii atakuwa ndani ya jumba la Big Brother weekend hii nchini Afrika Kusini kuwapa burudani washiriki wa shindano hilo.

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY

 Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.   Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.  Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY‏

Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.…
...

 

10 years ago

Bongo5

Dj Tass awafurahisha wabongo kwa kupromote muziki wa nyumbani ndani ya BBA Hotshots

Dj Tass wa Majic Fm na Maisha Magic ya DSTV Ijumaa (Nov. 14) alikuwa official Dj aliyetumbiza kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa na uzalendo aliouonesha kwa kupromote zaidi ngoma nyingi za wasanii wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla katika platform ambayo inaonekana kwenye nchi […]

 

10 years ago

GPL

IDRIS KUSHINDA BBA LEO!

Mshiriki kutoka TanzaniaAnayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan. 90% Huenda mshiriki kutoka Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan akaibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo. Tangu asubuhi Runinga ya DStv kupitia Channel 197 na 198 inayoonyesha moja washiriki 8 waliobakia katika mjengo huo, huku kamera ikimmulika zaidi Idris...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani