Diamond: Sikukata jina la Nahreel kwenye beat ya ‘Nana’
Siku kadhaa zilizopita mtayarishaji wa muziki wa studio ya The Industry, Nahreel alilalamikia kitendo cha utambulisho wake ‘Nahreel on the beat’ kuondolewa kwenye hit song ya Diamond Platnumz ‘Nana’ ambayo ndiye aliyei-produce.
Diamond naye amepata nafasi ya kueleza sababu ya utambulisho huo kutokuwepo kwenye wimbo huo.
Baba Tiffah amesema kuwa mwanzoni wakati anataka kushoot video hiyo Nahreel alimpa demo ambayo ilikuwa bado haijawekewa sign hiyo, hivyo baada ya kushoot na director...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio)
Kama ulipitwa na stori kubwa tatu kwenye 255 iliyosikika kwenye show ya XXL Clouds FM, ninazo hapa za Joh Makini, Diamond na Afande Sele. Joh Makini kwenye level za kimataifa sasahivi… rapper huyo amesema kuna majina makubwa ya wanaotaka collabo ila hawezi kuyataja japo kwenye majina hayo yupo Davido pia kutoka Nigeria. Nahreel aliwahi kuzungumzia […]
The post Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio) appeared first on...
9 years ago
Bongo503 Dec
Nahreel asema hakufurahishwa na kitendo cha kuondolewa kwa utambulisho wake kwenye wimbo wa ‘Nana’
![Nahreel](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/Nahreel-200x200.jpg)
Kuna baadhi ya watu huenda hawafahamu kuwa mdundo wa ‘Nana’ wa Diamond Platnumz ni zao la producer Nahreel wa The Industry, na hii ni kutokana kwamba haina ule utambulisho wa kazi zake ‘Nahreel on the beat’ ambao husikika kwenye kazi zote alizotayarisha.
Nahreel amesema kuwa kiashirio cha producer kwenye wimbo huo kiliondolewa kwa sababu ambazo hakuona kama zina uzito.
“Sababu walizosema walisema tu stori ilivyoanza pale mbele ile slogan yangu ingeleta hitilafu lakini it doesn’t make sense,...
11 years ago
Bongo531 Jul
Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya ‘Show Me’ (Kid Ink f/ Chris Brown)
10 years ago
GPLZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz….
Itakuwa sio mara yako ya kwanza kuona jina la Simba likitumika katika post za Diamond Platnumz hasa kupitia mtandao wa instagram, sasa leo Dec 28 Mr Blue kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika madai na kusema kuwa ndio mwanzilishi wa idea wa jina la Simba. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliandika madai hayo kwa […]
The post Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz…. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..
2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumznae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja […]
The post Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. appeared first on...
10 years ago
Bongo502 Dec
Sheddy Clever alalamika jina lake kutoandikwa kwenye kichupa cha Diamond ‘Ntampata Wapi’
9 years ago
Mtanzania17 Sep
K.O awasifi a Nahreel, Diamond
JULIET MORI (TUDARCO)
RAPA wa Afrika Kusini, Ntokozo Mdluli, ‘K.O’ amewamwagia sifa nyingi prodyuza, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na msanii wa kiwango cha juu, Abdul Nassib ‘Diamond Platinum’ kwa kazi zao nzuri zinazofanya vizuri nje ya Tanzania.
Rapa huyo aliweka wazi mapenzi yake kwa wasanii hao akiwa katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania, akitembelea vituo mbalimbali vya redio na televisheni pamoja na kukutana na wadau wa muziki nchini kwa ajili ya kubadilishana uzoefu.
Akiwa katika...
10 years ago
Bongo527 Aug
Nahreel afungua studio mpya ‘The Industry’, Diamond na wengine wameshaibariki