K.O awasifi a Nahreel, Diamond
JULIET MORI (TUDARCO)
RAPA wa Afrika Kusini, Ntokozo Mdluli, ‘K.O’ amewamwagia sifa nyingi prodyuza, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na msanii wa kiwango cha juu, Abdul Nassib ‘Diamond Platinum’ kwa kazi zao nzuri zinazofanya vizuri nje ya Tanzania.
Rapa huyo aliweka wazi mapenzi yake kwa wasanii hao akiwa katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania, akitembelea vituo mbalimbali vya redio na televisheni pamoja na kukutana na wadau wa muziki nchini kwa ajili ya kubadilishana uzoefu.
Akiwa katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio)
Kama ulipitwa na stori kubwa tatu kwenye 255 iliyosikika kwenye show ya XXL Clouds FM, ninazo hapa za Joh Makini, Diamond na Afande Sele. Joh Makini kwenye level za kimataifa sasahivi… rapper huyo amesema kuna majina makubwa ya wanaotaka collabo ila hawezi kuyataja japo kwenye majina hayo yupo Davido pia kutoka Nigeria. Nahreel aliwahi kuzungumzia […]
The post Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio) appeared first on...
9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond: Sikukata jina la Nahreel kwenye beat ya ‘Nana’

Siku kadhaa zilizopita mtayarishaji wa muziki wa studio ya The Industry, Nahreel alilalamikia kitendo cha utambulisho wake ‘Nahreel on the beat’ kuondolewa kwenye hit song ya Diamond Platnumz ‘Nana’ ambayo ndiye aliyei-produce.
Diamond naye amepata nafasi ya kueleza sababu ya utambulisho huo kutokuwepo kwenye wimbo huo.
Baba Tiffah amesema kuwa mwanzoni wakati anataka kushoot video hiyo Nahreel alimpa demo ambayo ilikuwa bado haijawekewa sign hiyo, hivyo baada ya kushoot na director...
11 years ago
Bongo527 Aug
Nahreel afungua studio mpya ‘The Industry’, Diamond na wengine wameshaibariki
9 years ago
Bongo512 Nov
Nahreel ni ‘fashion killer’ — Maurice Kirya

Sifa kubwa aliyonayo Nahreel ni kutengeneza beats. Mwaka huu mtayarishaji huyo wa muziki ametengeneza hits kama ‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini, Nana ya Diamond, Never Ever ya Vanessa Mdee na zingine.
Lakini kwa mujibu wa muimbaji wa Uganda, Maurice Kirya, member huyo wa kundi la Navy Kenzo ni mvaaji mahiri wa pamba kali.
“Pamoja na kuwa genius katika kutengeneza beats, naweza kumuita [Nahree] fashion killer,” Maurice aliambia website ya Coke Studio kuhusu jinsi alivyofanya kazi na Nahree. “Kila...
10 years ago
Bongo510 Oct
Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana
10 years ago
Bongo520 Aug
Nahreel kufungua chuo cha muziki ‘TIMS’
10 years ago
Bongo519 Oct
Quick Rocka adai hana tofauti na Nahreel