Nahreel afungua studio mpya ‘The Industry’, Diamond na wengine wameshaibariki
Mtayarishaji wa muziki, Nahreel amefungua studio mpya iitwayo ‘The Industry’ na tayari amefanya wimbo na wasanii mbalimbali wakiwemo Diamond, Nikki wa Pili pamoja na kundi lake, Navy Kenzo. Nahreel amesema studio hiyo ina wiki moja tu tangu ifunguliwe lakini tayari imeshafanya nyimbo na wasanii kadhaa. “Yeah kuna kitu kinaendelea Diamond alikuwa kwenye studio yetu mpya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Dec
Record label ya The Industry ya Nahreel yaanza rasmi, yasainisha wasanii wawili
![20151216203624](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151216203624-300x194.jpg)
Record label ya The Industry inayomilikiwa na producer Nahreel imeanza rasmi.
Rosa ni mmoja ya wasanii wawili waliosanishwa na The Industry
Nahreel ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshawasainisha wasanii wawili chini ya label hiyo.
Mmoja kati ya wasanii hao ni rapper wa kike aitwaye Rosa. Amesema hivi karibuni ataanza kuachia kazi za wasanii hao wapya.
Pamoja na kuanzisha record label hiyo, Nahreel pia alifungua shule ya muziki.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio)
Kama ulipitwa na stori kubwa tatu kwenye 255 iliyosikika kwenye show ya XXL Clouds FM, ninazo hapa za Joh Makini, Diamond na Afande Sele. Joh Makini kwenye level za kimataifa sasahivi… rapper huyo amesema kuna majina makubwa ya wanaotaka collabo ila hawezi kuyataja japo kwenye majina hayo yupo Davido pia kutoka Nigeria. Nahreel aliwahi kuzungumzia […]
The post Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio) appeared first on...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
K.O awasifi a Nahreel, Diamond
JULIET MORI (TUDARCO)
RAPA wa Afrika Kusini, Ntokozo Mdluli, ‘K.O’ amewamwagia sifa nyingi prodyuza, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na msanii wa kiwango cha juu, Abdul Nassib ‘Diamond Platinum’ kwa kazi zao nzuri zinazofanya vizuri nje ya Tanzania.
Rapa huyo aliweka wazi mapenzi yake kwa wasanii hao akiwa katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania, akitembelea vituo mbalimbali vya redio na televisheni pamoja na kukutana na wadau wa muziki nchini kwa ajili ya kubadilishana uzoefu.
Akiwa katika...
9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond: Sikukata jina la Nahreel kwenye beat ya ‘Nana’
![Diamond](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/07/Diamond-300x194.jpg)
Siku kadhaa zilizopita mtayarishaji wa muziki wa studio ya The Industry, Nahreel alilalamikia kitendo cha utambulisho wake ‘Nahreel on the beat’ kuondolewa kwenye hit song ya Diamond Platnumz ‘Nana’ ambayo ndiye aliyei-produce.
Diamond naye amepata nafasi ya kueleza sababu ya utambulisho huo kutokuwepo kwenye wimbo huo.
Baba Tiffah amesema kuwa mwanzoni wakati anataka kushoot video hiyo Nahreel alimpa demo ambayo ilikuwa bado haijawekewa sign hiyo, hivyo baada ya kushoot na director...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79530000/jpg/_79530482_diamond1920.jpg)
VIDEO: Zimbabwe's unstable diamond industry
5 years ago
The African Exponent29 Mar
The Way Forward for the Global Diamond Mining Industry
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ge9WkNua4TpYLu77LzqAQlMD9oxHc8LJ2hVMf4e3OOFYkZh36qXgNstEiy*L*uLDayoX5Em8xpYxrh2EhdBP000OD8ZSrgwO/Diamond.jpg)
DAKTARI: DIAMOND ATAFIA STUDIO
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya
![skylight band 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band-2.jpg)
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.
![skylight band](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band.jpg)
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...