DAKTARI: DIAMOND ATAFIA STUDIO
![](http://api.ning.com:80/files/ge9WkNua4TpYLu77LzqAQlMD9oxHc8LJ2hVMf4e3OOFYkZh36qXgNstEiy*L*uLDayoX5Em8xpYxrh2EhdBP000OD8ZSrgwO/Diamond.jpg)
Musa Mateja na Gabriel Ng’osha YAMEKUWA hayo! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anahofiwa kufia studio kutokana na kufanya kazi kwa muda mrefu pasipo kupumzika jambo linalomsababishia ‘kuzima’ (kulala fofofo) mara kwa mara ndani ya studio. soma zaidi===>http://goo.gl/Bb2L2x
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM12 Jun
DIAMOND ALA SHAVU JINGINE COKE STUDIO
STAA wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz amepata shavu jingine kwenye kipindi cha Coke Studio, baada ya kuteuliwa kwa mara nyingine kurekodi kwenye kipindi hiko ambacho wasanii wengi wanandoto na mchongo huo ambao ukiupata licha mtonyo wanaolipwa na kampuni kubwa ya cocacola wasanii hao wanapata platform ya kuonyeshwa kwa performance zao katika vituo vya tv kibao za barani Africa pamoja na kuonekana kwenye You Tube Channel za Cocacola studio.Meneja wa Diamond,Babu Tale anafunguka kwanini shavu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jw7q-MUd1KjhDe0gVtNU-3EKx-AGJ0x7CsQJb9Ox6PUb2tC2Wm4WClePGfWnY8P3sNK4PfYW-CdodztuNlTB5zr/tamasha.jpg)
SHILOLE: YEMI ATAFIA UGENINI
10 years ago
Michuzi06 Oct
9 years ago
Bongo510 Dec
Daktari Bingwa adaiwa kumpa Diamond mamilioni kwa kazi hii
![12346294_1699335430289433_1328544037_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_1699335430289433_1328544037_n-300x194.jpg)
Ile kauli ‘fedha huenda kwa wenye nazo’ haikukosewa sababu huo ndio ukweli.
Si kawaida kwa wasanii wa Tanzania kulipwa fedha wakati wanapokuwa wakiachia single zao lakini sio kwa Diamond.
Wakati ambapo mashabiki wake wanasubiria kwa hamu wimbo wake mpya Utanipenda! unaotoka Ijumaa hii, imebainika kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, Dr Mwaka amemmwagia Diamond mamilioni ya fedha ili kuitangaza kliniki yake iliyopo Ilala Bungoni.
Taarifa hizo zinadai kuwa hiyo ni sababu pia Diamond...
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
Diamond Platnumz atinga ndani ya studio za Genn Online Radio
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake inayotarajiwa kufanyika muda si mrefu katika anuani ya 8625 Troost Ave, Kansas City, Missouri.
Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni www.gennmedia.com wengine ni Dj Romy...
10 years ago
GPL11 Sep
10 years ago
Bongo527 Aug
Nahreel afungua studio mpya ‘The Industry’, Diamond na wengine wameshaibariki
10 years ago
Bongo519 Feb
Nay wa Mitego na Diamond waingia tena studio kupika kitu!