Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIDDY AKAMATWA KWA KUPIGANA NA KOCHA AKIMTETEA MWANAYE

 Sean ‘Diddy’ Combs. RAPA Sean ‘Diddy’ Combs wa Marekani, ameachiliwa kutoka gerezani jijini Los Angeles jana, alikokuwa emeswekwa saa kadhaa baada ya kukamatwa kwa kupigana na kocha wa mchezo wa ‘American football’ katika Chuo Kikuu cha Los Angeles (UCLA) ambako mwanaye, Justin Combs, hucheza katika nafasi ya ulinzi. Diddy akiwa na mwanaye Justin Combs. Habari kutoka gerezani zimesema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

P. Diddy amuomba msamaha kocha wa mtoto wake

Rapper Sean "Puffy" CombsLOS ANGELES, Marekani

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Sean Combs ‘Puff Daddy’, amemuomba msamaha kocha wa mtoto wake baada ya kugombana naye miezi miwili iliyopita.

Diddy aligombana na Sal Alosi baada ya kocha huyo kupishana maneno na mtoto wake wakiwa mazoezini, ambapo Diddy alichukua uamuzi wa kumpiga na kifaa kizito kocha huyo lakini baada ya kuomba radhi akaapa kutokwenda tena mazoezini kumwangalia mwanawe.

“Nilipishana maneno na kocha wa mwanangu, lakini kila kitu kipo sawa...

 

9 years ago

GPL

ACHOMWA KISU AKIMTETEA MKEWE!

Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha Inasikitisha! Kijana aliyefahamika kwa jina la Khalid Abdallah (30) mkazi wa Kigogo Sambusa jijini Dar, amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na mtu aliyefahamika kwa jina la Amani huku mkewe aitwaye Aisha akishuhudia. Marehemu Khalid Abdallah enzi za uhai wake. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni saa 5 usiku maeneo ya kota za Karume jijini Dar ambapo inadaiwa Khalid alikuwa katika jitihada za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo apewa kadi nyekundu kwa kupigana

Mchezaji nyota wa Real Madrid alipewa kadi nyekundi katika mechi dhidi Cordoba baada ya kumpiga mchezaji Edimar.

 

10 years ago

Bongo5

Ni marufuku kwa wanafunzi kupigana busu kwenye chuo kikuu cha Zimbabwe

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho. Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu. “Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.

 

11 years ago

GPL

AACHIKA KWA KUMUUNGUZA MIDOMO MWANAYE!

Stori:Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Asha (31) ambaye ni mke wa mtu, amejikuta akiachika katika ndoa yake baada ya kudaiwa kumuunguza midomo mwanaye, huko Yombo Buza, jijini Dar, Juni 24 mwaka huu. Paulina, akiwa na majeraha ya moto midomoni. Kwa mujibu wa majirani, mwanamke huyo alimchoma mtoto wake wa kumzaa, Paulina, mwenye umri wa miaka mitano kwa kile alichodai kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali

Simanzi, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto, John Wiliam (4) aliyefariki baada ya kupewa adhabu na baba yake mzazi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

10 years ago

GPL

MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

 

11 years ago

KwanzaJamii

INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAYE

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16). Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani