DINO AKACHA UIGIZAJI
![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK74ODBm6fzjswOQCHix0Q9ACw5uILuXCGwBbKxBL7y47iV*YDDWKSn7phmGlwHvgP-hrGCZI1n*UUyO6wBGmX4q/DINO.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya MKALI wa sinema za Kibongo, Denis Swea ‘Dino’ ameamua kuachana na uigizaji akidai haulipi. Denis Swea ‘Dino’. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni jijini Dar, Dino alisema badala ya kuigiza ameamua kurekodi vipindi ambavyo atavirusha katika televisheni kwani angalau inalipa kuliko sinema. “Nimeona bora kuweka pembeni uigizaji na nimeelekeza nguvu zangu zote katika suala...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Mamluki wamng’oa Dino kwenye filamu
MSANII wa siku nyingi, Dennis Sweya ’Dino’, amesema wingi wa watu walioingia katika tasnia ya filamu huku wengine wakiwa hawana ufahamu wa kihivyo (mamluki) katika tasnia hiyo wamefanya soko kuwa...
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Waridi, Dude, Dino Kuja na “MCHEPUKO”
Staa wa Bongo Movies, Anna Constantino ‘Waridi’ anashuka na mzigo mkali wa filamu mpya ya Mchepuko iliyoshehena mastaa kibao kwa ajili ya kutoa burudani kwa wapenzi wa filamu Bongo filamu hiyo inasambazwa na Proin Promotions ya Jijini Dar.
Mmoja kati ya wasanii washiriki wa filamu hiyo Kulwa Kikumba ‘Dude’ amedai kuwa sinema yao inaonyesha uwezo wa wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood huku akijivunia aina ya uigizaji wa Waridi pamoja na wasanii wengine walioshiriki kutengeneza...
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Mgombea CHADEMA akacha
MGOMBEA nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Kansa Mbarouk, amedaiwa kuwakwepa viongozi wa chama hicho wanaotaka kumpa barua ya wito kufika kusikiliza ufafanuzi wa pingamizi lake...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Diamond akacha shoo ya zari
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
MUSA MATEJA
Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya kukacha kuzama kwenye pati iliyokuwa imeandaliwa na mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Guvnor jijini Kampala, Uganda ambapo wawili hao walikwenda pamoja kwa lengo la kushirikiana kwenye makamuzi ya shoo ya pati hiyo iliyokwenda kwa jina la Zari All White Ciroc Party.
Wageni...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Okwi akacha kambi Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSlFm5C5RuYiivAmc0rU8Os8D7xRpbqc072zUVp56NCGz50eWyQwm8yfg6dc2Y*QEO-HTFOeNbHQnt9zNjtyx2Dc/esha.jpg)
ESHA BUHETI AKACHA KUIGIZA
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Serena akacha Indian Wells
HESABU za waaandaaji wa michuano ya tenisi ya Indian Wells BNP Paribas Open kuona nyota namba moja kwa wanawake, Serena Williams, anashiriki kipute cha mwaka huu zimeyeyuka. Serena ambaye mara...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0rtqAU5gIkgOMatVEiskziTGVHgg13xHWiRPftkcbeFz6mfx0K2bCSWn--AzNScnbZtfgL7Z9iul7*cnryOvUwW/LULU.jpg)
LULU AKACHA MSIBA WA KUAMBIANA, AJITETEA