LULU AKACHA MSIBA WA KUAMBIANA, AJITETEA
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0rtqAU5gIkgOMatVEiskziTGVHgg13xHWiRPftkcbeFz6mfx0K2bCSWn--AzNScnbZtfgL7Z9iul7*cnryOvUwW/LULU.jpg)
Stori: Musa Mateja STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuukacha msiba wa aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana na kujitetea kuwa alibanwa na majukumu. Alipobanwa na mwanahabari wetu kuhusu kutohudhuria msiba huo uliodumu kwa takriban siku nne, Lulu alijitetea kuwa alikuwa Mwanza kikazi. Elizabeth Michael ‘Lulu’. “Nimebanwa na kazi, nipo Mwanza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0rWO7yU1a4ZIe5isu*lngn7dd6CGGe4L-VgknBKtdFGG0Go8rHAizifcC10UD6tcAxJ6cwQM6-4Rxuygj1C0z7M/kuambiana.jpg)
BONGO MOVIE YATUMIA MIL. 7 MSIBA WA KUAMBIANA
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Mgombea CHADEMA akacha
MGOMBEA nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Kansa Mbarouk, amedaiwa kuwakwepa viongozi wa chama hicho wanaotaka kumpa barua ya wito kufika kusikiliza ufafanuzi wa pingamizi lake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK74ODBm6fzjswOQCHix0Q9ACw5uILuXCGwBbKxBL7y47iV*YDDWKSn7phmGlwHvgP-hrGCZI1n*UUyO6wBGmX4q/DINO.jpg?width=650)
DINO AKACHA UIGIZAJI
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Serena akacha Indian Wells
HESABU za waaandaaji wa michuano ya tenisi ya Indian Wells BNP Paribas Open kuona nyota namba moja kwa wanawake, Serena Williams, anashiriki kipute cha mwaka huu zimeyeyuka. Serena ambaye mara...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Okwi akacha kambi Yanga
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Diamond akacha shoo ya zari
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
MUSA MATEJA
Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya kukacha kuzama kwenye pati iliyokuwa imeandaliwa na mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Guvnor jijini Kampala, Uganda ambapo wawili hao walikwenda pamoja kwa lengo la kushirikiana kwenye makamuzi ya shoo ya pati hiyo iliyokwenda kwa jina la Zari All White Ciroc Party.
Wageni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSlFm5C5RuYiivAmc0rU8Os8D7xRpbqc072zUVp56NCGz50eWyQwm8yfg6dc2Y*QEO-HTFOeNbHQnt9zNjtyx2Dc/esha.jpg)
ESHA BUHETI AKACHA KUIGIZA
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Profesa Muhongo akacha makabidhiano ya ofisi
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wamekacha makabidhiano ya ofisi hatua iliyofanya mawaziri wapya kukabidhiwa ofisi na watendaji.
Mialiko iliyokuwa imetolewa, ilisema mawaziri hao wangekabidhi ofisi kwa wateule wapya, William Lukuvi, aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na George Simbachawene wa Nishati na Madini.
Kutokana na kutotokea kwa Profesa Muhongo, ilimlazimu Simbachawene akabidhiwe ofisi na...
10 years ago
Habarileo02 Oct
Akacha shule kwa kunogewa penzi la nguruwe
UNAWEZA kudhani ni Hekaya za Kusadikika! Lakini ni kisa cha kweli kwamba mama mzazi amemshitaki polisi mwanawe wa kiume, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16, kwa kile anachodai amechoshwa na tabia ya mwanawe ya kufanya mapenzi na nguruwe wao jike mara kwa mara na hata kujikuta akiacha shule.