Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diva: Sina uhusiano na Alikiba

11917989_166629733673746_101973509_n

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the Bawse amekanusha tetesi zilizosambazwa na gazeti moja la udaku kuwa ana uhusiano na Alikiba.

11917989_166629733673746_101973509_n

Kupitia Instagram, Diva ameandika:

Kuna gazeti Nimetumiwa limeandika nina Mahusiano na Ali Kiba. bila aibu wametumia Picha tumepiga studio. really? Since when ? Ali he is My good friend. he is sucha great heart and soul sina mahusiano nae sijawahi Wallahi kuwa na Mahusiano nae hata mara 1. na focus sana na Kazi yangu nina Plan zangu kibao sitaki niandikwe mambo ya...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Zitto: Sina uhusiano na Mwasiti wala Diva

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kukana kuwa na mahusiano na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness ‘Diva’ pamoja na msanii wa muziki, Mwasiti. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi cha EATV ambapo alikanusha kuwa na uhusiano wowote wa mapenzi na mastaa hao licha ya kudaiwa kutungiwa wimbo na Diva. “Mh! […]

 

10 years ago

GPL

ZITTO AANIKA UHUSIANO WAKE NA DIVA

Stori: Erick Evarist KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi. Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo...

 

9 years ago

Mtanzania

MO MUSIC: Sina uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji

651520c44b9d0ee6a50bc9e2a6bfdd9eNA MAULI MUYENJWA

MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Moshi Katemi, maarufu kwa jina la Mo Music, amekana tetesi kwamba anatoka na mtangazaji mmoja wa redio maarufu nchini.

“Sijawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwandishi wa habari, ingawa ninafahamiana na wengi ila kikubwa huwa tunaongea kuhusu kazi, naamini muziki wangu ndiyo unaonifanya niwe maarufu, lakini siyo skendo kama hizo,” alisema Mo.

Aliongeza kwamba kutokana na kuuamini muziki wake hawezi kukubali kuchafuka kwa kashfa kwa kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba

Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.

Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...

 

10 years ago

Habarileo

`Ushindani wa namba ni mkubwa Azam’ Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la m

MCHEZAJI wa Azam FC, Kelvin Friday amesema ushindani wa namba ni mkubwa katika kikosi chake, hivyo anahitaji kuonesha juhudi ili kufanya vizuri na kuingizwa katika kikosi cha kwanza.

 

11 years ago

GPL

DIVA, GK LIVE

Loveness Malinzi ' Diva' (kulia) na King Crazy GK katika pozi la kimahaba. Loveness Malinzi 'Diva' wa  Clouds FM amevunja ukimya na kuweka wazi juu ya mahusiano yake na Msanii aliyekuwa anaunda kundi la East Coast Gwamaka Kaihura ' King Crazy GK' baada ya hapo jana kutupia picha katika akaunti yake ya instagram na kufunguka yafuatayo.."have a Beautiful sunday... i gotta man to take care of... Ofcoz my GK.. love y'all .. and...

 

10 years ago

GPL

DIVA: ZITTO NI MUME WANGU

Na Shakoor Jongo
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa mke na mume. Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho, Loveness Malinzi ‘Diva’ akipozi. Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva alisema anashangazwa na baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani