Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIWANI ABEID: Nimeboresha mazingira ya elimu Nasibugani

WADAU mbalimbali wamekuwa wakijikita katika kuboresha baadhi ya shule zilizojengwa kwa nguvu za wazazi. Miongoni mwa shule hizo zilizokuwa katika mazingira magumu ambayo si rafiki kwa wanafunzi ni Shule ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

11 years ago

Mwananchi

CBE, Finland kutoa PhD ya elimu na elimu mazingira

>Chuo cha Bishara Dar es Salaam (CBE) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Eastern Finland (UEF), kwa pamoja wameanzisha program kwa masomo ya stashahada ya uzamivu (PhD) katika fani  ya elimu na mazingira ya elimu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu bora inahitaji mazingira salama

MAENDELEO ya taifa hupimwa kwa ubora wa elimu na taasisi zilizo chini yake, msingi imara wa elimu ni chachu ya mafanikio hasa kwa vijana.

Inapozungumziwa elimu bora si utoaji wa vitabu na madawati pekee katika shule, bali hata mazingira ya kusomea huongeza mafanikio ya elimu na kukuza maarifa.

Kwa kutambua hamasa hiyo ya mazingira mazuri ya kujifunzia kampuni ya AAR Health Care inayotoa huduma ya afya nchini imeandaa utaratibu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri kuanzia katika...

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Mazingira ya kutolea elimu yaboreshwe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema kurekebisha alama za madaraja mbalimbali katika mitihani haiwezi kuboresha, bali dawa pekee ya kurekebisha hali hiyo ni kuboresha mazingira ya kutolea elimu na ufundishaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Mazingira ya kusikitisha ya utoaji wa elimu ya awali Kigoma

Ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Bigabiro iliyopo Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, mwanafunzi mmoja anaingia na kuomba apewe ndoo aliyoagizwa na mwalimu wake.

 

9 years ago

Michuzi

SHIVYAWATA WATAKA MAZINGIRA RAFIKI YA ELIMU KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

 Mwenyekiti wa Taifa wa Shirikisho la Vyama Watu wenye Ulemavu Tanzania(SHIVYSWATA) Amon Anastaz Mpanju akizungumza na wandishi wa habari hawapo pichani juu ya kumpongeza  Rais   John Pombe Joseph Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuyajali  na kuyapa kipaumbele masuala ya watanzania wenye ulemavu kwa uteuzi wa Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi Vijana na Ajira  Dk.Abdallah Possy, kulia ni Mwekahazina Alias Masamaki Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Taifa wa...

 

10 years ago

Michuzi

USAFI WA MAZINGIRA UENDANE NA UTOAJI WA ELIMU BORA KWA WANAFUNZI-DC.MUSHI.

Mkuu wa Wilaya Ilala, Raymond Mushi (katikati) akizungumza katika siku ya kilele cha maadhimisho ya uboreshaji mazingira ya shule za msingi na sekondari za halmashauri ya manispaa ya Ilala, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam leo. (kushoto) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mugurumu(kulia) ni Mwenyekiti kamati ya uchumi na huduma za Jamii Manispaa ya Ilala  Angelina Malembeka.0Kikundi Mganda cha shule ya Msingi Umoja ya Manispaa ya Ilala kikitoa burudani...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Ummy Mwalimu azitaka Halmashauri zote nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya utunzaji wa mazingira

Halmashauri zote Nchini zimetakiwa kuendelea kuhamasisha na kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya utunzaji wa mazingira na pia kuimarisha miundombinu ya masoko ambayo ni mibovu na ya kizamani.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu wakati alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya manispaa za Temeke na Ilala za jijini Dar es Salaam.
Amekumbushia pia kila Manispaa kuzingatia agizo la Makamu wa Rais la kufanya usafi kila jumamosi ya mwanzo wa mwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani