Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani wa CCM Mbulu ajiuzulu

Diwani maarufu wa CCM wa Kata ya Endamilay, wilayani Mbulu Mkoa wa Manyara, Gesso Bajuta ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizawadiwa meza yenye ramani ya Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya rufaa ya Haydom,Dkt.Olav Espegren.  Kinana pia alizungumza na Uongozi sambamba na Watumishi wa hospitali hiyo ya Rufaa ya Haydom wilayani Mbulu,mkoani Manyara.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimshukuru Diwani wa kata ya EShkesh kupitia chama cha CUF,Ndugu Naftari Kitandu alipohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM,katika shule ya sekondari ya Yaeda chini,wilayani Mbulu mkoani...

 

10 years ago

Habarileo

Kamanda chipukizi CCM ajiuzulu

KAMANDA wa Chipukizi wa CCM, Mkoa wa Rukwa, Anyosisye Kiluswa ametangaza kujiuzulu rasmi nyadhifa zake ndani ya chama hicho.

 

11 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM nusura ajiuzulu

UCHAGUZI wa nafasi ya Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora nusura usababishe Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani hapa, Moshi Nkonkota kujiuzulu nafasi hiyo endapo Naibu huyo asingepita.

 

9 years ago

StarTV

M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.

Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.

Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani CCM lawamani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata Chimala, wilayani Mbarali, Mbeya kimemtaka diwani wa kata hiyo, Hussen Vayahe (CCM), kurudisha matofali zaidi 2,500 mali kata hiyo anayodaiwa kuyachukua   na kujengea...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU WA CCM


Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM ili kupisha agombee Urais na akishindwa atarudia nafasi ikimpendeza M/kit.Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM iliyokuwa imashikiliwa na Mwigulu Nchemba imechukuliwa na ndugu Rajab Luwavi.

 

11 years ago

Mwananchi

Diwani CCM mbaroni Singida

Diwani wa Kata ya Umyambwa, Tarafa ya Mungumaji, Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Shaban Satu (CCM) na watu wengine tisa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto basi la Kampuni ya Mtei Express ya Arusha.

 

11 years ago

Mwananchi

Diwani wa CCM asusia kikao

Diwani wa Kata ya Usagara (CCM), Callos Hizza katikati ya wiki hii alitoka nje wakati Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Tanga ukiendelea kama ishara ya kupinga kupitishwa mchoro wa Ramani ya Usagara Mashariki, akidai umelenga kupora eneo la kata yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Diwani wa CCM aingia matatani

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Ahamed Sawa, amechukua hati ya polisi inayoruhusu kukamatwa kwa Diwani wa Kata ya Kigera, kwa tuhuma za kuharibu vyumba vya madarasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani