Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Bilal kumzika Gurumo

>Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal anatarajiwa kuongoza msafara wa mazishi ya mwanamuziki nguli Muhidin Maalim Gurumo yatakayofanyika leo katika Kijiji cha Masaki Wilaya ya Kisarawe Pwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mamia wajitokeza kumzika Gurumo

>Safari ya miaka 74 duniani ya nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Mwalimu Gurumo ilifikia tamati jana baada ya kuzikwa kijijini kwake Masaki Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

 

11 years ago

GPL

WEMA AMFUNGIA DIAMOND, ASHINDWA KUMZIKA MZEE GURUMO

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
HAYA yanaweza kuwa ni mambo ya malovee! Kuna madai kwamba Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ alishindwa kushiriki zoezi la kuuaga mwili wa mwanamuziki mkongwe Tanzania, marehemu Muhidin Mwalimu Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ kwa sababu alifungiwa asitoke ndani na mwandani wake madam Wema Sepetu, Ijumaa linakudadavulia. Wema Sepetu na Diamond wakiwa faragha. ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI WA SENGEREMA KUMZIKA DKT. SHIJA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014 Spika wa Bunge la Jamhuri, Mhe. Anne Makinda,  akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal awaongoza wananchi wa Sengerema kumzika Dkt. Shija

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014. (Picha na OMR).

2

Spika wa Bunge la Jamhuri, Mhe. Anne Makinda,  akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA KUMZIKA MTIKILA!

Mwandishi Wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, anatarajia kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imefahamika. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila enzi za uhai wake. Duru za siasa kutoka ndani ya Ukawa, zimebainisha kwamba, licha ya kusambazwa kwenye mitandao kwa taarifa za...

 

10 years ago

GPL

BABA ALIVYOMNYONGA MWANAYE NA KUMZIKA

Na Mwandishi Wetu, Katavi
YULE mtoto wa umri  wa mwaka mmoja na miezi miwili, Regina Geofrey aliyeuawa kikatili kwa kunyongwa kisha kuzikwa na baba yake mzazi, Geofrey Kilangwa ‘Simbaiwe’ (27) kwa kuwa alizaliwa akiwa ametanguliza makalio yake, amezidi kuibua maswali. Mtuhumiwa Geofrey Kilangwa ‘Simbaiwe’( katikati) aliyemuua mwanaye mwenye umri  wa mwaka mmoja na miezi miwili, Regina Geofrey. ...

 

10 years ago

Mtanzania

Mamia wajitokeza kumzika Mez B

jeneza(1)NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani