Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Magufuli, Lowassa wapishana Tanga, Dar

Wagombea urais wanaochuana vikali, Edward Lowassa na Dk John Magufuli wamekuwa wakipishana kwa kuingia na kutoka jiji la Dar es Salaa lenye wapiga kura milioni 2.7 huku wakiwa wamefanya mikutano mingi zaidi katika jiji hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE WAKATI AKIWA SAFARINI KUTOKEA JIJINI TANGA KUELEKA DAR

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es salaam...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa avunja mkutano Tanga

Mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa jana alilazimika kukatisha mkutano wake wa kampeni kabla ya muda, kwa kuhofia usalama wa wananchi waliofurika kuzidi uwezo wa Uwanja wa Tangamano mjini hapa.

 

9 years ago

TheCitizen

Lowassa: I’ll rebuild Tanga port in one yr

Chadema presiden­tial candidate, who is backed by the Ukawa opposition coalition, Mr Edward Lowassa has prom­ised to scrap the Bagamoyo Port project and instead redirect its money to expand Tanga Port.

 

11 years ago

Habarileo

Majaji wapishana uamuzi kesi ya Kampuni ya AMI Tanzania

MAJAJI watatu wa Mahakama ya Rufani wametofautiana katika kutoa uamuzi wa kesi ya malipo ya Sh bilioni tano inayowahusu zaidi ya wafanyakazi 110 wa Kampuni ya AMI Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein, Maalim Seif wapishana kauli waliosusia Baraza la Wawakilishi

Zanzibar/Dar. Wakati Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ameunga mkono kitendo cha mawaziri na wajumbe wa CUF kususia baraza, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amekipinga.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA KATIKA KAMPENI HANDENI NA KILINDI MKOANI TANGA

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga jana.Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akisaalimiana na watoto baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga jana.Ofisa wa Polisi akitoa heshima wa Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya...

 

9 years ago

Vijimambo

MAELFU WAMPOKEA EDWARD LOWASSA JIMBO LA BUMBULI MKOANI TANGA

Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo. Lowassa akiwasili Bumbuli.
 Lowassa akihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Bumbuli leo.Umati wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa kama “Lulu” Tanga, Mtwara na Lindi nako usipime

Lowassa_Lindi8

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono mamia ya wana CCM na wananchi wa Manispaa ya Lindi, waliojitokeza kwenye ofisi za chama mkoani humo Juni 17, 2015. . Mheshimiwa Lowassa ambaye amechukua fomu kuomba chama kimteue kuwani urais wa Tanzania Oktoba 25, 2015, alijizolea wana CCM 3,279.

CCM_Lindi

Lowassa_Mwana CCM mtwara

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, akisalimiana Mwana CCM huyu aliyejitokeza kumdhamini  kwenye ofisi za CCM wilaya ya Mtwara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani