Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Migiro aapishwa kuwa Mbunge

MBUNGE aliyeteuliwa na Rais, Dk Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi jana bungeni na kusema anafurahi kutumikia umma huku akiahidi utumishi wenye uadilifu, uaminifu na wa kujituma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Masaju aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

Rais Dk John Magufuli amemuapisha George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu mjini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Mulamula aapishwa kuwa Katibu Mkuu

RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha Katibu Mkuu mpya, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (pichani).

Aidha, katika sherehe fupi ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Kikwete alimwapisha Balozi Hassan Simba Yahya kuwa Naibu Katibu Mkuu katika wizara hiyo.

Katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Rais Kikwete alimwapisha pia...

 

10 years ago

StarTV

Muhamadu Buhari aapishwa kuwa rais wa Nigeria


Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari ameapishwa kama rais mpya wa nchi hiyo.


Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani akiwa Abuja

Bwana Buhari ambaye ni kiongozi wa zamani wa kijeshi amechukua uongozi kutoka kwa rais wa zamani Goodluck Jonathan ambaye amemtaka kuiunganisha nchi hiyo wakati inapokabiliana na tisho kutoka kundi la Boko Haram.


Kiongozi wa Ethiopia akiwasili Abuja

Buhari anasema kuwa lengo lake ni kupambana ufisadi ambao...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aapishwa kuwa mwenyekiti EAC

Rais Jakaya Kikwete amekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua jukumu hilo kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyemaliza muda wake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Evariste Ndayishimiye: Aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi

Maelfu ya raia wa Burundi wamefurika katika uwanja huo kushuhudia kuapishwa kwa rais huyo kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza.

 

9 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…

 

10 years ago

StarTV

Ashraf Ghani aapishwa kuwa rais mpya Afghanistan

Ashraf Ghani ameapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan, akichukua nafasi ya Hamid Karzai katika sherehe zilizofanyika ikulu ya rais mjini Kabul.

 

 
Kuapishwa kwa Bwana Ghani kunakuja baada ya miezi sita, huku kukiwa na mvutano mkubwa kuhusu kulalamikia udanganyifu katika kupiga na kuhesabu kura.

 

 
Kwa mujibu wa mkataba uliosimamiwa na Marekani Bwana Ghani atashirikiana madaraka na mshindi wa pili katika uchaguzi wa urais Bwana Abdullah Abdullah ambaye atakuwa afisa mtendaji mkuu.

 

 
Kundi...

 

10 years ago

Michuzi

Paul Makonda aapishwa leo kuwa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni

Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda (kulia) akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Mh. Said Meck Sadick leo jijini Dar.

 

11 years ago

Michuzi

MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AAPISHWA kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki

 Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni.   Muakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe.Mahmoud Thabit Kombo (alievaa koja) akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe Baraza la wawakilishi katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa  Mhe.Mahmoud Thabit Komboa akitoka nje ya Baraza la Wawakilishi  kuwashukuru wapenzi na wanachama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani