Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Migiro: Chukueni hatua za matukio hatari


NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha Rose Migiro, amezitaka idara zinazohusika na jukwaa la haki jinai kuchukua tahadhari dhidi ya matukio yanayohatarisha usalama wa taifa.
Migiro alisema hayo jana katika ufunguzi wa kikao cha mawaziri na watendaji wa taasisi zinazounda jukwaa la haki jinai.
Alisema katika kukabiliana na matukio hayo, ushirikiano wa pamoja unahitajika katika utendaji kazi ili kudhibiti hali hiyo.
Dk. Migiro alisema mwenendo wa matukio ya uhalifu unaweza...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Chonde chonde …..Jeshi la Polisi chukueni hatua dhidi ya mabomu haya!

arusha pics

WATANZANIA taratibu wameanza kuona kama ni mchezo wa kuigiza au mazoea pale kila baada ya muda fulani tukio la kulipuka kwa bomu katika kanisa au sehemu ya mkusanyiko au kwenye mkutano wa kisiasa kama ni jambo la kawaida.

Imefikia mahali kwamba milipuko ya mabomu inaanza kuonekana kama ni sehemu ya utamaduni wetu kwa kukubali kwa kirahisi watu wenye dhamira ovu na katili ya kutaka kuangamiza binadamu wenzao pasipo sababu ya msingi na hata kama mtu ana sababu ya msingi kuelezea hisia zake...

 

10 years ago

Mwananchi

Matukio ya hatari yaliyowakumba viongozi wastaafu

Tukio la kufanyiwa vurugu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni limeshtua makundi mengi ya Watanzania.

 

10 years ago

GPL

MATUKIO KIBAO YA UJAMBAZI BENKI, HATARI KUBWA!

Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata, Shani Ramadhani na Denis Mtima/ Ijumaa Wikienda
WAKATI kukiwa na dhana ya baadhi ya wafanyakazi na wateja wa mabenki nchini kuvujisha taarifa za wateja wanaotoa kiasi kikubwa cha fedha kwa majambazi ambapo mwishowe wateja hao huvamiwa na kuporwa, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) imetinga ndani ya benki kadhaa jijini Dar na kugundua udhaifu mkubwa katika ulinzi, Ijumaa Wikienda limeshika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Italia yachukua hatua za dharura nchi nzima kudhibiti virusi hatari

Takribani watu milioni 60 wameamriwa kubaki majumbani kujiepusha na maambukizi ya virusi vya corona

 

9 years ago

MillardAyo

Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18)

Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi. Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani […]

The post Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?

Ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus kuingia katika miili yetu, madaktari na maafisa wa afya wanatuambia kutoshika macho yetu, pua na mdomo. Lakini hilo sio rahisi kama inavyofikiriwa.

 

5 years ago

Michuzi

MADEREVA CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA CORONA


Na WAMJW- MBEYA.

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuwaasa madereva wa vyombo vya usafiri kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona.

Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Anyitike Mwakitalima wakati wa uhamasishaji kwa wananchi wa kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chukueni likizo mtakavyo asema Branson

Mmiliki wa kampuni ya Virgin Sir Richard Branson amewaruhusu wafanyikazi wake kuchukua likizo kila wanapohitaji

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Chukueni tahadhari msimu wa Mvua za Masika- TMA

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii
HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA )imetoa utabir wake wa Mvua  za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo  zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani