Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Mwakyembe azindua matairi stahiki

WAZIRI wa Usafirishaji, Dk. Harrison Mwakyembe, amezindua matairi stahiki kwa mabasi ya abiria yanayotengenezwa na kampuni ya Michelin na kuitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Viwango nchini (TBS), kuzuia bidhaa zisizostahili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UCHUKUZI DK. HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA JENGO LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (watatu kutoka kulia ) Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba , Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar, Dk. Juma Akir (kushoto) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafii wa Anga Tanzania(TCCA) Dk. Nyamajeje Weggoro, wakishirikiana kukata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la TCAA. Uzinduzi huo ulikua sehemu ya maadhimisho ya Siku yaKimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe azindua kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Mkataba wa UNESCO 2005



 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.Wadau wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ni muhimu kujua hasa watumiaji wa matairi vipara

Car Tyres Warrington 1_0

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako).

Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.

Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne.

 Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho...

 

9 years ago

MillardAyo

Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz)

Kama kuna vitu vinayakimbiza maisha kwenye kasi ya ajabu, basi teknolojia nayo imo… uliipata ile ya Lexus iliyotengenezwa kwa mabox, ikafungwa mota alafu ikaingia barabarani na kutembea kama gari tulizozoea? Sasahivi nimekutana na hii ambayo jamaa wamekaa zao chimbo kubuni tu kitu tofauti… kilichobuniwa ni matairi yaliyotengenezwa kwa barafu, ubunifu umefanyika London Uingereza na kampuni […]

The post Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz) appeared first...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Fahamu stahiki zako ardhi inapotwaliwa (2)

Taratibu za kutangaza ardhi iliyotelekezwa Ardhi iliyotelekezwa – Ni ardhi ambayo imegawiwa au inamilikiwa na mtu, lakini inakaa kwa muda mrefu bila matumizi yeyote. Sheria za ardhi zinatoa utaratibu juu...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete akerwa wananchi kutolipwa fidia stahiki

RAIS Jakaya Kikwete amewataka maofisa wa Serikali kuacha tabia ya kuwakopa wakulima masikini nchini kwa ujanjaujanja kwa kusingizia kuwa hawana fedha ya fidia mali zao ili kupisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali.

 

9 years ago

StarTV

TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18

Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali

Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko la kulipa malimbikizo ya madeni kuwalipa kabla ya juni 30 mwaka huu lakini mpaka sasa hayajafanyiwa kazi jambo ambalo wamesema linawaweka katika mgumu.

Madai hayo yametolewa...

 

10 years ago

Habarileo

Aliyeua kwa kucharanga mapanga korti yamkabidhi stahiki yake

MKAZI wa Kijiji cha Ingri Juu wilaya ya Rorya, Phillimon Agala (52) amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Seleman Gershon kwa kumkatakata kwa mapanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani