Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Slaa: Ing’oeni CCM

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka wananchi mkoani Iringa kutumia sanduku la kura kuking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuanzia uchaguzi wa Serikali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye

Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hicho si kipaumbele.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA

Mh:Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba...

 

11 years ago

Habarileo

Katibu CCM amlipua Dk Slaa

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga kujua kiasi cha fedha anazolipwa Dk Willbrod Slaa kila mwezi ili waoanishe na harakati zake anazodai zinalenga kupinga ufisadi. Dk Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema); yupo wilayani Iringa akiongoza kampeni za kumnadi Grace Tendega anayegombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama hicho.

 

11 years ago

IPPmedia

CCM in Slaa, Mnyika murder plot


IPPmedia
CCM in Slaa, Mnyika murder plot
IPPmedia
The major opposition party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yesterday accused the ruling party CCM of designing a plot to harm some of its members by blowing up a helicopter in Shinyanga municipality back on January 27. The party's ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa afichua mkakati mchafu wa CCM

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kinadaiwa kutumia sh bilioni 536 kwa ajili ya kununua helkopta 12. Madai hayo yametolewa jana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa....

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dovutwa: Slaa, mkewe wote ni makapi ya CCM



Msomi ainanga CHADEMA
NA MOHAMMED ISSA
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amemvaa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbord Slaa na kumtaka ajitokeze hadharani kufafanua tatizo la msingi la Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pia, ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Dk. Slaa kuwa, CHADEMA haitasubiri wanachama watakaoachwa na CCM, kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao, wakati yeye na mkewe ni makapi ya CCM.
Dovutwa amesema Dk. Slaa alitokea CCM na kwamba, anatakiwa kuueleza umma ubaya...

 

10 years ago

GPL

CCM: KUJITOA SLAA, LIPUMBA UKAWA WATANYOOKA TU!

Mwandishi wetu WATANYOOKA tu! Hiyo ndiyo kauli waliyoitoa wafuasi wa CCM jijini Dar baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Ibrahim Lipumba kujiweka pembeni katika shughuli za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Slaa amedaiwa kujichimbia nyumbani kwake Mbweni jijini Dar na kukataa kuzungumzia hatma yake kisiasa na kuacha shughuli za Ukawa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa apokea kijiti Oparesheni Delete CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Taifa, Freeman Mbowe, amehitimisha ngwe yake ya ziara ya Operesheni ‘Delete’ CCM, akikabidhi kijiti kwa Katibu Mkuu Dk. Willibrod Slaa, huku akiendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani