Dk. Slaa kuibukia?
KUNA taarifa kwamba Katibu Mkuu aliyejiweka kando wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, huenda akaibuka kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho.
Ingawa hakuna taarifa rasmi kutoka Chadema inayoeleza kuwa Dk. Slaa aliyejiengua kutoka chama hicho mwishoni mwa mwezi uliopita atahudhuria mkutano huo, baadhi ya viongozi wameeleza kuhusu uwezekano wa jambo hilo kutokea.
Gazeti hili lina taarifa kutoka...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 May
Makamua Kuibukia Bongo Movies
Staa wa Bongo Fleva kutoka kundi la wakali kwanza, anatarajia kuigiza filamu ya maisha ya muziki itakayoitwa “Bongo na Fleva”.
Akiongea na E-News ya EATV, Makamua alisema filamu hiyo itahusisha pia mastaa wengine wakubwa wa Bongo Flava na kwamba mpaka sasa mradi huo umekwisha kamilika.
Karibu sana.
10 years ago
Mwananchi29 Jul
Lowassa alivyozama CCM, kuibukia Ukawa
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Azam kuibukia kwa Kagera leo?
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Zitto Kabwe kuibukia Kigoma kesho
10 years ago
Vijimambo12 Mar
ZITTO KABWE KUIBUKIA KIGOGA KESHO
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2650334/highRes/964247/-/maxw/600/-/w1bn92z/-/zitto_kabwe.jpg)
Dar/Kigoma. Siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kumvua uanachama, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kesho atatua jimboni kwake kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara.Uamuzi wa kumfukuza Zitto (pichani) ulifikiwa juzi ikiwa ni muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi aliyofungua Januari 2, 2014, dhidi ya Bodi ya Wadhamini na katibu mkuu wa Chadema, iliyokuwa imeshikilia uanachama...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Moto wa Tamasha la Pasaka kuibukia Shinyanga, Mwanza
MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini anatarajiwa kutua nchini kesho tayari kuwasha moto katika onyesho maalumu kwa wapendwa na wadau wa Kanda ya Ziwa, ukiwa...
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
9 years ago
Bongo522 Oct
Fastjet kuibukia kwenye soko la Kenya hivi karibuni baada ya kupata leseni
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-95EPrOC0dhM/VZObAygQWII/AAAAAAAHmKw/94_pYAZBH68/s72-c/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
MZIMU WA NGOMA AFRICA BAND KUIBUKIA MAMLING FESTIVAL, AUSTRIA, Jumapili 5 Julai 2015-Austria