Lowassa alivyozama CCM, kuibukia Ukawa
>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anautaka urais. Kada huyo ambaye ni miongoni mwa makada 38 wa CCM waliojitosa kuomba ridhaa ya kugombea nafasi hiyo, lakini akatoswa, sasa anaiwania tena kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2860850/highRes/1112336/-/maxw/600/-/r63lu6z/-/lowasa_akilini.jpg)
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Ukawa: Lowassa anaongoza
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimetoa matokeo ya utafiti uliofanywa sehemu tatu tofauti unaoonyesha mgombea wao wa urais, Edward Lowassa, atapata ushindi wa asilimia 76.
Matokeo ya utafiti huo yalitolewa Dar es Salaam jana ikiwa ni siku chache tangu Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza itoe utafiti wake ambao ulimpa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli ushindi wa asilimia 65 na Lowassa ushindi wa asilimia 25.
Kabla ya Twaweza, Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Lowassa alivyoingia Ukawa
USIKU wa Julai 10, 2015, Edward Lowassa, alipokea simu aliyoifahamu vema.
Ezekiel Kamwaga
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Dk. Slaa kuibukia?
KUNA taarifa kwamba Katibu Mkuu aliyejiweka kando wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, huenda akaibuka kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho.
Ingawa hakuna taarifa rasmi kutoka Chadema inayoeleza kuwa Dk. Slaa aliyejiengua kutoka chama hicho mwishoni mwa mwezi uliopita atahudhuria mkutano huo, baadhi ya viongozi wameeleza kuhusu uwezekano wa jambo hilo kutokea.
Gazeti hili lina taarifa kutoka...
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Siku 10 kampeni za Lowassa Ukawa
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6AaYZAyOCMVAwXK2KQu8CvVe3abw7LLmgD58e6ZuVqWi0ZFXifwGrZJ1aQuZdlG4AUsjDG-bOZgS9kMSi6lOWJM/FRONTAMANI.gif?width=650)
MASTAA WAMFUATA LOWASSA UKAWA
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Ukawa watangaza kumkaribisha Lowassa