Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa: Lowassa anaongoza

MMGL1140VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimetoa matokeo ya utafiti uliofanywa sehemu tatu tofauti unaoonyesha mgombea wao wa urais, Edward Lowassa, atapata ushindi wa asilimia 76.

Matokeo ya utafiti huo yalitolewa   Dar es Salaam jana ikiwa ni siku chache tangu   Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza itoe utafiti wake ambao ulimpa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli ushindi wa asilimia 65 na Lowassa ushindi wa asilimia 25.

Kabla ya Twaweza,  Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

MATOKEO YA AWALI: Dk Magufuli anaongoza majimbo tisa, Lowassa manne

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai baada ya kujiunga na Chadema hivi karibuni. Kushoto ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga. Picha ya Maktaba
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Lowassa alivyoingia Ukawa

USIKU wa Julai 10, 2015, Edward Lowassa, alipokea simu aliyoifahamu vema.

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kauli ya Lowassa Ukawa izingatiwe

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) ambaye pia ndiye mwakilishi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana alizungumza na wanachama wa vyama hivyo na kutoa kauli inayostahili kuungwa mkono na wapenda amani wote nchini.

Mgombea huyo, Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya mkataba wa kufua umeme wa kampuni tata ya Richmond, Edward Lowassa, jana alikuwa Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAMFUATA LOWASSA UKAWA

NI shidaah! Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa (pichani) kukaribishwa katika  Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, mastaa mbalimbali Bongo wameamua na wengine kushawishiwa kumfuata wakiamini katika uwezo wake kiuongozi, Amani limenasa mpango mkakati kamili. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1eCbwg9 ...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Raia Mwema

Lowassa: Ukawa imekosa au imepata?

HATIMAYE imetokea.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa amwalika Namelock Ukawa

gombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana amefanya kampeni kwa mara ya kwanza katika jimbo la Monduli na kumnadi mgombea ubunge wa Chadema, Julius Kalanga huku akieleza kuwa atazungumza na mgombea ubunge wa CCM, Namelock Sokoine kuona kama atakubali kupanda basi la Chadema chini ya Ukawa.

 

10 years ago

GPL

UKAWA WAIZUNGUMZIA AFYA YA LOWASSA

KUFUATIA kuwepo kwa minong’ono juu ya afya ya mgombea urais wa Tanzania kupitia umoja wa vyama unaounda Ukawa, Edward Lowassa, umoja huo umetoa ufafanuzi na kusema kiongozi huyo yupo fiti kiafya..   ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1P8BBjn

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani