Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa alivyoingia Ukawa

USIKU wa Julai 10, 2015, Edward Lowassa, alipokea simu aliyoifahamu vema.

Ezekiel Kamwaga

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai baada ya kujiunga na Chadema hivi karibuni. Kushoto ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga. Picha ya Maktaba
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa: Lowassa anaongoza

MMGL1140VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimetoa matokeo ya utafiti uliofanywa sehemu tatu tofauti unaoonyesha mgombea wao wa urais, Edward Lowassa, atapata ushindi wa asilimia 76.

Matokeo ya utafiti huo yalitolewa   Dar es Salaam jana ikiwa ni siku chache tangu   Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza itoe utafiti wake ambao ulimpa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli ushindi wa asilimia 65 na Lowassa ushindi wa asilimia 25.

Kabla ya Twaweza,  Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kauli ya Lowassa Ukawa izingatiwe

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) ambaye pia ndiye mwakilishi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana alizungumza na wanachama wa vyama hivyo na kutoa kauli inayostahili kuungwa mkono na wapenda amani wote nchini.

Mgombea huyo, Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya mkataba wa kufua umeme wa kampuni tata ya Richmond, Edward Lowassa, jana alikuwa Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza kuhama CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wamesema pande hizo mbili zimefanya uamuzi mgumu ambao utanufaisha kila upande.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Raia Mwema

Lowassa: Ukawa imekosa au imepata?

HATIMAYE imetokea.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa watangaza kumkaribisha Lowassa

Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa leo wametangaza kumkaribisha aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kujiunga nao katika kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani