Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kauli ya Lowassa Ukawa izingatiwe

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) ambaye pia ndiye mwakilishi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana alizungumza na wanachama wa vyama hivyo na kutoa kauli inayostahili kuungwa mkono na wapenda amani wote nchini.

Mgombea huyo, Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya mkataba wa kufua umeme wa kampuni tata ya Richmond, Edward Lowassa, jana alikuwa Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Puuzeni kauli za CCM 

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umewataka Watanzania kupuuza kauli za viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa hazina lengo la kuwasaidia katika mchakato wa uundwaji wa katiba mpya. Mmoja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA fanyieni kazi kauli ya Kikwete

OKTOBA 8, mwaka huu wakati akipokea katiba inayopendekezwa , Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake amewapa kazi viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Wananchi (UKAWA). Akiwahutubia wananchi waliofika...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wafafanue maana ya kauli yao

Kwa mara ya kwanza tangu ulipomalizika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ametoa kauli inayoashiria amekiri kushindwa aliposema: “Nimeshindwa pambano lakini si vita.”

 

10 years ago

Mtanzania

Wasomi wachambua kauli ya Lowassa

LOWASSAAAGRACE SHITUNDU NA MICHAEL SARUNGI,
DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuweka wazi majaliwa yake ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu yale anayoaamini na kuyasimamia katika taifa, wasomi na wadau wa siasa nchini wamechambua kauli ya kiongozi huyo.
Lowassa juzi alizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Dodoma na kutangaza msimamo wake wa siasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vipaumbele vyake, elimu, kupambana na umaskini.
Wakizungumza...

 

9 years ago

Vijimambo

Kauli ya Ukawa kususia uchaguzi yaishtua Nec.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeshtushwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kwamba watasusia uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Hata hivyo, Nec imetetea kauli iliyotolewa Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya Mgombea urais ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, kwamba CCM haitakubali kuiachia Ikulu Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Nec, Jaji Damian...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai baada ya kujiunga na Chadema hivi karibuni. Kushoto ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga. Picha ya Maktaba
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kauli za viongozi wa dini kwa UKAWA zina kasoro

MATAMKO mengi yaliyotolewa na viongozi wa dini dhidi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yakiwakejeli na kuwataka warudi kwenye majadiliano ya katiba mpya katika Bunge Maalum baada ya kuisusia...

 

9 years ago

Vijimambo

KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA


Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani