MASTAA WAMFUATA LOWASSA UKAWA

NI shidaah! Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa (pichani) kukaribishwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, mastaa mbalimbali Bongo wameamua na wengine kushawishiwa kumfuata wakiamini katika uwezo wake kiuongozi, Amani limenasa mpango mkakati kamili. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1eCbwg9 ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...
10 years ago
GPL
SHAMSA AWAASA MASTAA WANAOMFUATA LOWASSA
10 years ago
Bongo Movies24 Sep
Mastaa Kuhama Ukawa Kwenda CCM, Siri Nzito Yafichuka
NYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna siri nzito zilizojificha na Amani limechimbua kutoka kwa wahusika.
Hivi karibuni, mastaa mbalimbali akiwemo mwigizaji Aunt Ezekiel na Vincent Kigosi ‘Ray’ waliokuwa wakishabikia Chadema kinachoungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walitangaza kuhamia CCM na kuzua taharuki kwa wafuasi wao.
Baada ya wawili hao kuhamia CCM, yaliibuka...
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Ukawa: Lowassa anaongoza
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimetoa matokeo ya utafiti uliofanywa sehemu tatu tofauti unaoonyesha mgombea wao wa urais, Edward Lowassa, atapata ushindi wa asilimia 76.
Matokeo ya utafiti huo yalitolewa Dar es Salaam jana ikiwa ni siku chache tangu Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza itoe utafiti wake ambao ulimpa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli ushindi wa asilimia 65 na Lowassa ushindi wa asilimia 25.
Kabla ya Twaweza, Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Lowassa alivyoingia Ukawa
USIKU wa Julai 10, 2015, Edward Lowassa, alipokea simu aliyoifahamu vema.
Ezekiel Kamwaga
10 years ago
Mwananchi10 Sep
Siku 10 kampeni za Lowassa Ukawa
10 years ago
GPL
UKAWA WAIZUNGUMZIA AFYA YA LOWASSA
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Lowassa, Ukawa ngoma nzito
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, yuko mbioni kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendel
Mwandishi Wetu
10 years ago
GPL
LOWASSA SASA RASMI UKAWA