UKAWA WAIZUNGUMZIA AFYA YA LOWASSA
![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkzljwMn41HZegzt1*V8J71qBnYs7y-WtHf0AFISwGaqdZ9SHorCtn0fidLOAK***GDFFhzTR97AIfN0*CZz0PJ/Lowassa.gif?width=650)
KUFUATIA kuwepo kwa minong’ono juu ya afya ya mgombea urais wa Tanzania kupitia umoja wa vyama unaounda Ukawa, Edward Lowassa, umoja huo umetoa ufafanuzi na kusema kiongozi huyo yupo fiti kiafya..  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1P8BBjn
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2860850/highRes/1112336/-/maxw/600/-/r63lu6z/-/lowasa_akilini.jpg)
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Lowassa alivyoingia Ukawa
USIKU wa Julai 10, 2015, Edward Lowassa, alipokea simu aliyoifahamu vema.
Ezekiel Kamwaga
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Ukawa: Lowassa anaongoza
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimetoa matokeo ya utafiti uliofanywa sehemu tatu tofauti unaoonyesha mgombea wao wa urais, Edward Lowassa, atapata ushindi wa asilimia 76.
Matokeo ya utafiti huo yalitolewa Dar es Salaam jana ikiwa ni siku chache tangu Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza itoe utafiti wake ambao ulimpa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli ushindi wa asilimia 65 na Lowassa ushindi wa asilimia 25.
Kabla ya Twaweza, Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Lowassa athibitisha ubora wa afya yake
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa, jana alithibitisha kwa vitendo kuwa afya yake iko safi baada ya kutembea umbali wa kilomita tano kwa miguu kwenye matembezi ya kupinga mauaji ya albino nchini.
Kwa muda mrefu, Lowassa ambaye ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amekuwa akidaiwa kuwa na matatizo ya afya na kuwa hawezi kuhimili mikimiki ya kampeni na shughuli nyingine...
10 years ago
Vijimambo26 May
Niko tayari kupima afya - Lowassa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-26May2015.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema kuwa kumekuwa na tabia ya watu kuombeana mabaya na mojawapo ni kuzushiana magonjwa na amependekeza kuwa wakati umefika kwa Chama Cha Mapinuzi (CCM) kupima afya za wagombea wake wa urais ili kujua ukweli nani mgonjwa.
Kadhalika, amesema kuwa yeye ni mzima wa afya na yuko tayari kwa chochote katika mchakato wa mapambano ya kuwaletea wananchi...
9 years ago
Habarileo16 Nov
Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Lowassa, Ukawa ngoma nzito
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, yuko mbioni kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendel
Mwandishi Wetu
10 years ago
Raia Mwema12 Aug