Dk. Slaa: TBC adui wa mageuzi
SIKU moja baada ya Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) kukata matangazo ya moja kwa moja wakati Bunge la Katiba likiendelea mjini Dodoma, wanasiasa na wananchi wa kada mbalimbali wamelaani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Na Chalila KibudaAALIYEKUWA Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...
10 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
11 years ago
GPL
Adui 5 wa Maximo watajwa
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo kutoka Brazil. Na Ezekiel Kitula
ADUI watano ambao watampa shida kubwa Kocha wa Yanga, Marcio Maximo kutoka Brazil, wametajwa na wengine wamo ndani ya Yanga na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wachambuzi watatu maarufu wa soka nchini, Edibily Lunyamila, Bakari Malima na Saleh Ally, wameeleza kuwa, adui hao kwa Maximo ni viwanja vibovu, waamuzi wabovu, hujuma, uzalendo mikoani na presha ya...
10 years ago
Mwananchi30 Apr
Makocha: Adui mwombee njaa
Dar es Salaam. Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, vita sasa imebaki kwa timu mbili zinazowania nafasi ya pili na nyingine 11 zinazosaka mbinu ya kukwepa janga la kushuka daraja msimu huu.
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Madini adui yanayoathiri afya
Unaweza kufikiri ni hadithi, lakini ukweli ni kwamba watoto wengi wanaozaliwa kijijini Mtakuja Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wengi wao wamepinda miguu, kuharibika ubongo na wengine kupata meno yenye rangi ya kahawia.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Aug
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Adui wa maendeleo ni Mtanzania mwenyewe
KATIKA taratibu zake za kukabiliana na uhalifu, Jeshi la Polisi huwa lina utaratibu wa kumkamata mlinzi wa eneo ambalo limevunjwa na wizi umetokea. Mlinzi huyu hutumiwa kama mtuhumiwa wa awali...
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Kamara ageuka ‘adui’ Yanga
Dar es Salaam. Badaa ya kutoswa na Yanga, kiungo wa Sierra Leone, Lansana Kamara ameibukia kwa wapinzani wao katika mchezo wa leo, SC Villa ya Uganda.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania