Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Tulia apita tanuri la moto

Dk Tulia Ackson, jana alichaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge huku akianza kuonja joto la upinzani baada ya kubanwa akitakiwa aeleze ni lini alijiunga na CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

DK. TULIA ACKSON APITA UNAIBU SPIKA CCM

 Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Unaibu spika Bahati Abeid akizungumza mbele ya wabunge wa CCM.
 Mhe. Mariam Kisangi akizungumza mbele ya wabunge wa CCM kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo yeye pamoja na Bahati Abeid walijitoa na kumpa nafasi Dk.Tulia Ackson kupita bila kupingwa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongea...

 

11 years ago

Habarileo

Sitta apita CCM

Samuel SittaKAMATI ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi ( C C M ) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda apita njia ya Lowassa

KATIBU Mwenezi wa Chama cha NCCR Mageuzi, na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema Bunge lijalo hapatatosha kati ya yeye na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kama ripoti ya ufisadi...

 

10 years ago

Habarileo

Shein apita bila jasho CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akipongezwa na Makamu wa Rais wa Dk Mohammed Gharib Bilal baada ya kupitishwa na Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kugombea tena urais kwa kipindi cha pili. (Picha na Ikulu).KIKAO cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM -Zanzibar kwa kauli moja imependekeza kwa Kamati Kuu jina la Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuteuliwa kuwania tena kiti cha Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea udiwani CCM apita bila kupingwa

Licha ya upinzani mkali wa kisiasa kati ya vyama vya CCM, Chadema na ACT-Wazalendo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mgombea udiwani wa CCM wa Kata ya Kagera, Kebelezo Gregory amefanikiwa kupita bila kupingwa baada ya pingamizi lililowekwa dhidi ya wagombea wenzake kukubaliwa na msimamizi msaidizi wa uchaguzi katika kata hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete apita kwa kishindo uchaguzi mdogo Chalinze

ridhiwani

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.

NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE

Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze Bagamoyo mkoani Pwani kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo na kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.

Matokeo ya uchaguzi huo yanaonyesha Ridhiwani ameongoza akifuatiwa na CHADEMA ,CUF,NRA na ASP.

Matokeo hayo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Filikunjombe apita bila kupingwa, wapinzani wake waingia mitini na fomu

Fomu ya mgombea wa  Chadema ubunge Ludewa zikiwa hazijatimia baada ya tomu ya tamko kukosekana. Fomu ya  mgombea  wa Chadema  ikiwa haijazwa senemu ya  tarehe ,mwezi na mwaka. blogger-image-737464366

Mzee  Kada  wa Chadema  akimpongeza  mbunge wa  Ludewa, Deo Filikunjombe baada ya kupewa  barua ya kupita bila kupingwa.

Mbunge  wa  Ludewa, Deo  Filikunjombe akizungumza na  wanachama  wa CCM na  wananchi wa Ludewa baada ya  kupita  bila  kupingwa. blogger-image--1715103721

Filikunjombe akionyesha barua ya  kupita bila kupingwa.

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: CHRIS BROWN APITA RED CARPET YA BILLBOARD MUSIC AWARDS NA MWANAE ROYALTY


Chris Brown aliamua kwenda na mwanae Royalty kwenye tuzo za Billboard Music Awards zilizofanyika Jumapili hii.Staa huyo alizunguka na kupiga picha kwenye red carpet na mtoto huyo mwenye umri wa miezi 11 sasa.Baba yake Royalty alikuwa ametajwa kuwania vipengele vitatu kwenye tuzo hizo



 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, AMOSI MAKALLA APITA OFISI ZA MICHUZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla alipopita kusalimia katika Ofisi za MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo, mara baada ya kutoka kuapishwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.Watatu kutoka kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla  akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani