Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOGO MFAUME ADAIWA KUMTELEKEZA MAMA’KE

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki wa Mnanda Bongo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Kazi ya Dukani, Dogo Mfaume (pichani chini)anadaiwa kumtelekeza mama yake mzazi, Flora Nathaniel (60), mkazi wa Chanika, Ilala jijini Dar ambaye amekatwa miguu kufuatia kukumbwa na ugonjwa wa Kisukari mwaka 2011. Staa wa muziki wa Mnanda Bongo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Kazi ya Dukani, Dogo Mfaume. Kwa mujibu wa majirani, mwanamke huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mama wa Dogo Aslay azikwa Dar

ASLAYNA MELCKZEDECK SIMON

MSANII kiongozi wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ jana alijumuika na wadau mbalimbali wa sanaa kumzika mama yake mzazi, Moza Mohammed aliyefariki juzi hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam.

Mama wa msanii huyo alifariki jana asubuhi katika Hospitali ya Temeke, alipokuwa amelazwa.

Wadau mbali mbali wa muziki walimpa pole msanii huyo kutokana na kuondokewa na mama yake kipenzi ambaye alimtimizia kumjengea nyumba kutokana na kipato chake cha...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MAMA MZAZI WA DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA

Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’,  Moza Mohamed enzi za uhai wake. Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi. Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa. Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella...

 

11 years ago

GPL

MAMA ADAIWA KUMVUNJA...

Na Gladness Mallya
MWANAMKE mmoja aliyejitambuliwa kwa jina la Fadhila mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Keko Machungwa jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumvunja mguu mtoto wake mwenye umri wa siku moja, akiwa katika jaribio la kumuua. Mtoto aliyevunjwa mguu wa kulia na mama yake. Akisimulia tukio hilo, kaka wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Mbwana, alisema tukio hilo lilitokea asubuhi ya Julai 6, mwaka huu, wakati...

 

11 years ago

GPL

DOGO LILA NA DOGO HILAL WAKIFANYA YAO NDANI YA DAR LIVE

Dogo Lila na Dogo Hilal wakifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Dar Live.

 

11 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]

 

11 years ago

GPL

MAMA ADAIWA KUMSULUBU MTOTO, APEWA KIBANO

Na  Gladness Mallya na Shani Ramadhani
HII ni too much! Jalada namba KW/RB/7565/2014-SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI lililopo kwenye Kituo cha Polisi cha Kawe, Dar, linamhusu mama aliyetajwa kwa jina moja la Teddy, mkazi wa Tegeta kwa madai ya kumtumikisha na kumtesa mtoto Magdalena Elisha (10) na kumsababishia majeraha na makovu ya vidonda sehemu mbalimbali mwilini. Mama anayedaiwa kumsulubu mtoto huyo akilia baada ya kutiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

11 years ago

GPL

MAMA ADAIWA KUMCHANA MWANAYE VIWEMBE SEHEMU ZA SIRI!

Na Gladness Mallya na Shani Ramadhani
Inauma sana! RB namba KMR/RB/7911/2014-KUJERUHI iliyopo kwenye Kituo cha Polisi cha Mbezi-Kwayusuph jijini Dar, inamshikilia mama aliyetajwa kwa jina moja la Schola , mkazi wa Kibanda cha Mkaa, Mbezi kwa shitaka la kumchana kwa viwembe mwanaye Mwajuma (6) aliyezibwa usoni kwa sababu ya kukojoa kitandani. Mtoto Mwajuma aliyechanjwa viwembe sehemu za siri na mama yake. Akizungumza kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000

Monduli. Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani