MAMA ADAIWA KUMVUNJA...

Na Gladness Mallya MWANAMKE mmoja aliyejitambuliwa kwa jina la Fadhila mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Keko Machungwa jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumvunja mguu mtoto wake mwenye umri wa siku moja, akiwa katika jaribio la kumuua. Mtoto aliyevunjwa mguu wa kulia na mama yake. Akisimulia tukio hilo, kaka wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Mbwana, alisema tukio hilo lilitokea asubuhi ya Julai 6, mwaka huu, wakati...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Aug
11 years ago
GPL
DOGO MFAUME ADAIWA KUMTELEKEZA MAMA’KE
11 years ago
GPL
MAMA ADAIWA KUMSULUBU MTOTO, APEWA KIBANO
11 years ago
GPL
MAMA ADAIWA KUMCHANA MWANAYE VIWEMBE SEHEMU ZA SIRI!
10 years ago
Mwananchi21 May
Mama mzazi adaiwa kumuuza mwanaye kwa Sh70,000
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mke aua mume kwa kumvunja shingo
MWANAMKE Etina Silumba (44) mkazi wa kijiji cha Mpemba wilayani Momba anashikiliwa na polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuua mumewe.
10 years ago
GPL
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA