Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dr Dre kutoa albamu mpya ya muziki

Kwa miaka 15 mashabiki wa msanii Dr Dre wamekuwa wakingojea kwa hamu tangazo hilo muhimu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki

Vituo vya radio vimekuwa vikipokea kazi mpya za wasanii wa Bongo karibia kila siku, hii ikiwa inamaanisha kuwa ushindani ni mkubwa kutokana na wingi wa wasanii ambao wote wana malengo ya kulikamata soko ambalo wateja wake ni wale wale (mashabiki). Hali hiyo imekuwa ikiwalazimu wasanii kuwaza nje ya box, ili kuhakikisha kazi wanazotoa hazimezwi na […]

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo. Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane […]

 

9 years ago

Mtanzania

Fid Q: Najuta kutoa albamu mapema

fid-qNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anajutia kutoa albamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ mapema kabla mfumo wa kutumia CD kuingia Tanzania.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Fid Q alisema kuwa mfumo wa  kutumia kanda ulifanya albamu hiyo kuwafikia mashabiki wachache tofauti na malengo aliyojiwekea na anaamini angetumia CD kazi yake ingewafikia wengi.

“Muda mwingine nawaza albamu yangu ningeitoa kipindi ambacho CD...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer agwaya kutoa albamu

msodoki youngkiller

Rapper kutoka Mwanza, Young Killer amesema albamu yake ipo tayari lakini anashindwa kuitoa kutokana na kuhofia hasara.

msodoki youngkiller

Rapa huyo ambaye ameachia wimbo mpya, ‘Popote Kambi’ hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa kinachomkwamisha kuitoa albamu hiyo ni kukosa wasambazaji.

“Sasa hivi nina nyimbo nyingi ambazo nina uwezo wa kuzifanya albamu. Redioni nina ngoma zaidi ya saba na nyumbani binafsi na ngoma karibia nane, hiyo tayari ni albamu,” amesema.

“Nikipata mtu ambaye anaweza akaihitaji,...

 

9 years ago

GPL

CHRIS AMTUMIA MWANAYE KWENYE ALBAMU MPYA

Staa wa Kibao cha New Flame, Chris Brown. New York, Marekani
STAA wa Kibao cha New Flame, Chris Brown, ameamua kumtumia mwanaye wa kike, Royalty kwenye ‘cover’ ya albamu yake mpya aliyoipa jina hilo pia ambayo anatarajiwa kuiachia Novemba 27, mwaka huu.Chris, 26, ameonekana akiwa amembeba kifuani mwanaye huyo mwenye umri wa mwaka mmoja ambapo wote walikuwa hawajavaa nguo za juu na kila mmoja akiwa amesinzia. ...

 

10 years ago

Mtanzania

Albamu mpya ya Barnaba kuandaliwa miezi mitatu

barnabaNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’, amesema atatumia muda wa miezi mitatu kundaa albamu yake mpya.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Barnaba alisema matarajio yake ni kuingiza sokoni albamu hiyo kabla ya kumalizika kwa mwaka huu.
“Unajua tangu nilipoachia ile albamu ya kwanza imepita miaka miwili, nadhani ni muda mwafaka wa kuandaa kitu kingine kwa mashabiki zangu,” alisema Barnaba.
Barnaba alisema shuguli ya kuandaa albamu...

 

5 years ago

Bongo5

Barakah The Prince aeleza kuhusu ujio wa albamu yake mpya

Msanii wa muziki kutoka RockStar4000, Barakah The Prince amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake ya kwanza.

Muimbaji huyo amesema albamu hiyo huwenda ikatoka katikati ya mwaka huu au mwisho wa mwaka kutegemea na maandalizi na uwamuzi wa label yake.

“Albamu yangu ya kwanza inatoka chini ya RockStar4000 na itatoka mwaka huu katikati au mwishoni,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.

Alisema kila msanii wa label hiyo ana...

 

11 years ago

GPL

KAMBI YA EXTRA BONGO YAJIFUA KWA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA

Kiongozi wa wanenguaji, Super Nyamwela (kulia) akiwaongoza wanenguaji. Sehemu ya wanahabari wakifuatilia zoezi hilo. Kiongozi wa bendi hiyo,…

 

11 years ago

GPL

AMSHAAMSHA KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA JAHAZI NDANI YA DAR LIVE

Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mohammed Ally akiimba wimbo 'Kazi Unayo' kabla ya uzinduzi wa albamu mpya iitwayo Chozi la Mama. Mashabiki wa Jahazi wakiburudika kabla ya uzinduzi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani